Yaani, hakuna mpango wa kujenga eneo la maana hapil hivyo vimeza pee yake zinakuja na huduma gani nyingine; mbona naona kama ni dalili za kwanza za uchafuzi wa mazingira?
Hiki Chama cha machinga wanajipa haki ya kupewa eneo loteKAWETELE, Kufa kufaana wauze hata barabara ili mradi wawe na vile vitambulisho vya 20,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza ukiona chinga(hawker) anatafuta eneo jua siyo chinga. Hilo eneo wangetafuta hata vyuo vijenge kampasi zao ingekuwa poa.Hiki Chama cha machinga wanajipa haki ya kupewa eneo lote
Pilitics as usualKAWETELE,
Yaani, hakuna mpango wa kujenga eneo la maana hapil hivyo vimeza pee yake zinakuja na huduma gani nyingine; mbona naona kama ni dalili za kwanza za uchafuzi wa mazingira?
Ni eneo la maji kweli kweli haswa kipindi cha mvua. Jili kuwasaidia hao machinga ile stand ya daladala ya kabwe na Mwanjelwa zihamishiwe kule na miundombinu iwekwe, vinginevyo zitakuwa ni siasa na hawatadumu sana hapoHilo eneo silifahamu, lakini kwa muonekano lingepandwa miti na kutunzwa vizuri nafikiri Mbeya lingependeza sana, maana naona kama ni ardhi yenye majimaji sana.
Haaa haaa..Nani ataenda huko.????
Hivi CCM mnaelewa maana ya machinga.????
Machinga inabidi aruhusiwe kuuza pembezoni mwa soko au barabara kama alivyoruhusu wale wa Mwanza waliompigia kura...
Hakuna qnayetoka nyumbani na kwenda sokoni kumfuata machinga, ila akitoka kununua kitu dukani akabakiwa na chenji kisha aone kitu kilichopangwa na machinga akakipenda ndipo ananunua...
Au wewe unaweza kutoka KAWETELE, ukapita MWANSEKWA, ukapita IGANZO, ukapita MAGEGE, ukapita MAKUNGURU, ukapita JUAKALI, ukapita MWANJELWA, ukapita MAFYATI, ukaenda AIRPORT kununua kitu cha 2000.?????
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..