Mbeya: Agizo la Rais Magufuli la kugawa eneo la Airport ya zamani kwa wamachinga latekelezwa

Nani ataenda huko.????

Hivi CCM mnaelewa maana ya machinga.????

Machinga inabidi aruhusiwe kuuza pembezoni mwa soko au barabara kama alivyoruhusu wale wa Mwanza waliompigia kura...

Hakuna qnayetoka nyumbani na kwenda sokoni kumfuata machinga, ila akitoka kununua kitu dukani akabakiwa na chenji kisha aone kitu kilichopangwa na machinga akakipenda ndipo ananunua...

Au wewe unaweza kutoka KAWETELE, ukapita MWANSEKWA, ukapita IGANZO, ukapita MAGEGE, ukapita MAKUNGURU, ukapita JUAKALI, ukapita MWANJELWA, ukapita MAFYATI, ukaenda AIRPORT kununua kitu cha 2000.?????

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
walio enda pale watakimbia wenyewe subilia mwezi wa pili
 
Ikumbukwe eneo hilo liliombwa kwa Mh. Rais na Naibu spika Dr. Tulia siku ya tarehe 26 April 2019.
Zaidi soma


Tangu juzi wafanyabiashara wadogo wadogo wamekuwa wakimininika kuwahi maeneo ya kuweka Meza zao..

Kigezo kikubwa ilikuwa kuwa na kitambulisho cha ujasiliamali.

View attachment 1323376


Changamoto:
* waliopata wanadai vimeza vidogo mno.
* waliokosa wanalalamika kuwa waliopata siyo wamachinga
Mijani yote hiyo hapakosi nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo eneo silifahamu, lakini kwa muonekano lingepandwa miti na kutunzwa vizuri nafikiri Mbeya lingependeza sana, maana naona kama ni ardhi yenye majimaji sana.
Unaona eeh yani pangepandwa miti na bustani ingekuwa bonge la city park. Sema Rais wetu huyo hakuwa akipenda kwenda nchi za nje hawezi kuwa alikuwa anafahamu vitu hivyo vizuri vidogovidogo
 
Back
Top Bottom