Mbele ya pesa,,kila goti la mwanamke litapigwa !!

Mbele ya pesa,,kila goti la mwanamke litapigwa !!

duuuh pole sana kwa rafikiyo
ila kuondoka kwa mke kuna sababu
sie kujua ni ngumu na mume atasema
anachoona ni kizuri masikioni kwa watu, who knows?
kwa kua mwanamke katoroka na kuolewa na mtu mwingine
kuna uwezekano mkubwa wa rafikio kupewa watt wake
afwate sheria tu!!so sad!! ngoja waje maloya!!
 
^^
Ni matokeo ya kuridhiana pasina kuridhika au kukubaliana pasipo kukubaliana.
Utasikia mtu anasema "yaishe hee" kumbe hayajaisha..kuna kinyongo
^^

Hapa hakuna kilichosuluhishwa!!!!!
 
usisahau kua mama yako
dada na shangazi zako ni wanawake
kua makini na kashfa unazotoa!sio fashen!!

Hivi dada akiwa malaya sio MALAYA?
Mama akiwa malaya sio MALAYA?
Shangazi nae akiwa malaya sio MALAYA?

Kuwa mama,dada,shangazi hakufuti tabia zake
Kama ni kicheche ni kicheche tu!!!!!

Usitishe watu hapa kwa hivi vivuli!!!!!!!!!!!!!
 
"Mbele ya pesa kila goti la mwanamke litapigwa" , usemi huu sio kweli kila wakati inategemea tabia ya mtu. Wengine hawatawaliwi na pesa na hao wapo wengi. Tukirudi kwenye hii taabu aliyoipata rafiki yako kumbuka huwa wanasema kuna malaika wa nuru yaani hujifanya malaika wa Mungu kumbe ni shetani . Sasa sishangai hicho alichofanya huyo mama pia kumbuka watu husema, "chui kavaa ngozi ya kondoo ", yaani mtu huonekana mwenye sifa njema kumbe ukichunguza undani wake sivyo umjuavyo. Kama atatulia rafiki yako naamini atakumbuka matukio kadhaa yanayoonyesha huyo mama hakuwa amefika bali alikua akiishi maisha ambayo sio yake. Amshukuru Mungu na asonge mbele kwani Mungu atampa atakaeridhika na hali yake asikate tamaa kwa vile bado Mungu ni mwema na anamuwazia mema.
 
Nawahakikishieni mkichunguza vizuri aliyepelekea hayo ni huyo bwana,namsifu sana huyo mama kwa kuwa hajafunga ndoa na huyo jamaa,maisha ni haya haya wacha akainjoy zake huko!haishi milele ati.ni maamuzi magumu sana na huyakuti kwa wanawake wajinga wajinga tu.
 
hivi dada akiwa malaya sio malaya?
Mama akiwa malaya sio malaya?
Shangazi nae akiwa malaya sio malaya?

Kuwa mama,dada,shangazi hakufuti tabia zake
kama ni kicheche ni kicheche tu!!!!!

Usitishe watu hapa kwa hivi vivuli!!!!!!!!!!!!!
mada zako hizi hukosekani wewe
 
Mkuu naomba ubadilishe hiyo heading hasa kipengele cha " Kila goti la mwanamke litapigwa"
Huyo unayemwita shemeji au aliyekua shemeji, ni sehem ndogo sana kufanya kufikia hiyo kauli. Maoni yangu lakini.

Thanks

^^
Ichukue kuwa ni mtazamo wangu hasi..maana imeniumiza
^^
 
Hivi dada akiwa malaya sio MALAYA?
Mama akiwa malaya sio MALAYA?
Shangazi nae akiwa malaya sio MALAYA?

Kuwa mama,dada,shangazi hakufuti tabia zake
Kama ni kicheche ni kicheche tu!!!!!

Usitishe watu hapa kwa hivi vivuli!!!!!!!!!!!!!
Watu hawapendi kusikia ukweli wanapenda kusifiwa hata kama ni ujinga"......Nanyi mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru"

Wanawake wameumbwa ( genetically wired) kiasi kwamba wanaamini kuwa mtu mwenye pesa ni more intelligence na uwezo wa kumaliza kiu zao.

.
 
Nawahakikishieni mkichunguza vizuri aliyepelekea hayo ni huyo bwana,namsifu sana huyo mama kwa kuwa hajafunga ndoa na huyo jamaa,maisha ni haya haya wacha akainjoy zake huko!haishi milele ati.ni maamuzi magumu sana na huyakuti kwa wanawake wajinga wajinga tu.

^^
Nimejaribu kumtafuta mwanamke mwenyewe,,majibu aliyonipa ya kejeli sana na wazazi wa rafiki yangu wanalaani tendo hilo mpaka wazazi wa mwanamke hawana la kusema,wanashangaa.Inawezekana ana sababu ya msingi lakini taarifa za mitaani ni kuwa walikuwa wakikutana mumewe akiwa ktk safari za kupeleka watalii (anafanya kazi tourism)
..PESA Nivea PESA PESA ina nguvu.
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
...
Nimeamini mbele ya pesa,kila goti la mwanamke litapigwa
^^

Mkuu naomba ubadilishe hiyo heading hasa kipengele cha " Kila goti la mwanamke litapigwa"
Huyo unayemwita shemeji au aliyekua shemeji, ni sehem ndogo sana kufanya kufikia hiyo kauli. Maoni yangu lakini.

Thanks
 
^^
Ichukue kuwa ni mtazamo wangu hasi..maana imeniumiza
^^

Kwa kuwa ni mtazamo wako sio mbaya, na mimi nna mtazamo wangu tofauti na wako ndio maana nikaona ku generalize kwa wanawake wote. Ndio maana nikaona si vema kuwaunganisha wanawake wenye heshima zao kwenye kundi la huyo shemeji yako.
 
OK but its painful..mliojaliwa kupata wema..watunzeni.
Ila kweli,mwanamke ni wa kuangalia tu
^^
 
Back
Top Bottom