Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Wakubwa salaams, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata mbegu za nyanya aina ya F1 hapa dar es salaam anifahamishe. Ahsante.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu jaribu kuwatembelea Balton wako pale maeneo ya coca cola mikocheni. Huenda wakawa nazo na watakushauri.

Ubarikiwe
 
Daa mkuu kwa huku arusha ingekuwa raisi sana ila tu hiyo anna f1 naikubali sana itakupa utajiri ukiwa serious mkuu.big up sana
 
Mkuu jaribu kuwatembelea Balton wako pale maeneo ya coca cola mikocheni. Huenda wakawa nazo na watakushauri.

Ubarikiwe

Salute mkuu, nitawatafuta.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukizikosa hapo ni Pm nikupe namba ya jamaa wanakampuni ya kuuza mbegu wanazo hizo mbegu

mkuu Sabayi

Natafuta mbegu za Lucerne grass/ alfalfa

waweza kunisaidia upatikanaji
 
Mkuu, nitumie na mimi. Nahitaji sana kwa ajili ya bustani yangu.

Mkuu nimekutumia no yake hawa jamaa wana mbegu nzuri sana za hybrid sasa hivi wana mbegu mpya ya kitunguu inaitwa Jambar F1 inatoa gunia 230 kwa eka mimi ntaipanda next month na wana mbegu ya hoho inatoa tani 20 kwa eka hizi hybrid wenzetu kenya wameshaanza sana kuzilima
 
Mkuu SEBAYI!!!
Naamini ni wengi tunao hitaji upatikanaji wa hizi mbegu zote. Tinawaomne hizo namba za simu au duka linalouza hizo mbegu za nyanya F1 & na vitunguu vya kisasa ns pilipili hoho uweke adharani ili wote tufaidike kaka
 
Mkuu sidhani kama ni busara kuweka hadharani namba za mtu bila idhini yake atakaye kuwa serious anahitaji ntakuwa na MP,Na wewe nimekupm zicheki
 
Mkuu nimekutumia no yake hawa jamaa wana mbegu nzuri sana za hybrid sasa hivi wana mbegu mpya ya kitunguu inaitwa Jambar F1 inatoa gunia 230 kwa eka mimi ntaipanda next month na wana mbegu ya hoho inatoa tani 20 kwa eka hizi hybrid wenzetu kenya wameshaanza sana kuzilima

mkuu na mie nahitaji sana hyo jambar f1, anna f1, na mbegu ya hoho inaitwaje?, nahitaji hyo namba, pia kuna mtu aliyejaribu kuipanda akapata mavuno angalao robo tatu ya makadirio ya hzo gunia 230 ambapo ume prove?, nitajitahidi nizipate mbegu zote hzo! Msaada wako tafadhali
 
Mkuu sidhani kama ni busara kuweka hadharani namba za mtu bila idhini yake atakaye kuwa serious anahitaji ntakuwa na MP,Na wewe nimekupm zicheki

Cheki PM Mkuu!!
 
Back
Top Bottom