The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,654
Ushasema "kampuni" sasa hutaki wafanye biashara?
Sorry vitunguu saumu vinaitwaje in English?
Ushasema "kampuni" sasa hutaki wafanye biashara?
Ushasema "kampuni" sasa hutaki wafanye biashara?
Ngoja niombe idhini yake akikubali ntaiweka humu
Si busara kuweka no ya mtu bila idhini yake
Si busara kuweka no ya mtu bila idhini yake
Si busara kuweka no ya mtu bila idhini yake
Ushasema "kampuni" sasa hutaki wafanye biashara?
Ngoja niombe idhini yake akikubali ntaiweka humu
Nami naomba namba yake tafadhali.
Natanguliza shukrani.
Mkuu nimekutumia no yake hawa jamaa wana mbegu nzuri sana za hybrid sasa hivi wana mbegu mpya ya kitunguu inaitwa Jambar F1 inatoa gunia 230 kwa eka mimi ntaipanda next month na wana mbegu ya hoho inatoa tani 20 kwa eka hizi hybrid wenzetu kenya wameshaanza sana kuzilima
Nami naomba namba yake tafadhali.
Natanguliza shukrani.
Nimesha kupm mkuu
Mbegu ya Tengeru'97 ina sifa zifuatazo:
Huzaa sana kutokana na wingi wa matunda na muda mrefu wa kuvuna, ambao hufikia michumo mikubwa 6-7 kuanzia kuvuna hadi mwisho wa mavuno.
Aina hii ina sifa ya kuwa na ganda gumu, hivyo haziharibiki haraka wakati wa kusafirisha au kuhifadhi wastani wa siku 20.
Pia zina sifa ya kuvumilia baadhi ya magonjwa kama vile ugonjwa wa kunyauka.
Tengeru'97 hustahimili mashambulizi ya minyoo fundo.
Ushasema "kampuni" sasa hutaki wafanye biashara?
Ngoja niombe idhini yake akikubali ntaiweka humu
Mkuu Sabayi, naomba na mimi unitumie contacts za wasambazaji wa mbegu za nyanya aina ya Anna F1.
Asante.
Mkuu sidhani kama ni busara kuweka hadharani namba za mtu bila idhini yake atakaye kuwa serious anahitaji ntakuwa na MP,Na wewe nimekupm zicheki
Daa mkuu kwa huku arusha ingekuwa raisi sana ila tu hiyo anna f1 naikubali sana itakupa utajiri ukiwa serious mkuu.big up sana