Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 2,691
- 4,390
Umetisha Coco 🫠Sasa hapo umechekea nini? 🤔
☺️
Umetisha Coco 🫠Sasa hapo umechekea nini? 🤔
☺️
Bei nimeshaweka hapo juu mkuu. Pia nitakutumia PMTuma hizo ät least nayeye achangamke kulima bustani wateja atapata tu..
Mna brunch dar?Nashkuru sana kwa maoni yako. Katika suala la mbegu, kuna aina kuu mbili za mbegu ambazo ni hybrid na OPV.
Hybrid ni mbegu iliyoongezewa nguvu kwa kuunganisha genes za mbegu kadhaa tofauti ili kupata mbegu bora zaidi kwa upande wa uzalishaji, na mbegu hii huoteshwa maramoja tu bila kuirudia shambani, pia mbegu hii inafaa kulimwa katika green houses.
OPV ni mbegu ya asili ambayo ina genes za asili na huweza kulimwa popote, pia ni mbegu inayovumilia ukame na magonjwa zaidi kuliko hybrid.
Mbegu zetu ni OPV, hivyo unaweza kuilima mkoa wowote na katika shamba wazi(sio lazima green house) na ikakupa matokeo bora.
Katika upande wa uzaaji pamoja na namna yakulima, hapo kila zao linajitegemea maelezo yake. Hivyo mteja akiwa ana uhitaji wa mbegu flani, ndio tunampatia maelezo yote kuhusu mbegu husika kuanzia namna yakulima, matunzo pamoja na uzaaji wa zao husika.
Karibu sana.
Hatuna branch Dar ila tunaweza kutuma mzigo ukakufikia popote ulipoMna brunch dar?
Safi Sana mkuu vitu vyangu kabisaaaaHello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa ubora(certified seeds) katika kampuni yetu. Mbegu zetu ni OPVs zenye ubora wakuaminika na zikiwa katika ujazo wa gram25.
Ofisi zetu zinapatikana Usariver Arusha.
Karibuni nyote muweze kujipatia mbegu bora za mbogamboga na katika bei rafiki.
Kwa mawasiliano tupigie kwa namba 0746762365/0626532223
View attachment 3532107View attachment 3532108View attachment 3532109View attachment 3532110View attachment 3532111View attachment 3532112View attachment 3532113View attachment 3532114View attachment 3532115View attachment 3532116View attachment 3532117
Safi Sana mkuu vitu vyangu kabisaaaa
Mkuu Mimi ni mdau naomba nikuchangie tu hata nisipolima ila nimevutiwa sana na kazi Yako naomba mbegu hizi kama unazo
Sawa mkuu, nashkuru sana kwa pongezi. Naomba unitumie sms whatsap kwenye namba hiyo ya voda uniambie ulipo na tuwasiliane zaidi juu ya namna yakukupatia hizo ulizohitaji. Karibu sana mkuuMkuu Mimi ni mdau naomba nikuchangie tu hata nisipolima ila nimevutiwa sana na kazi Yako naomba mbegu hizi kama unazo
Broccoli gram25
Zucchini grm25
Butternut
Bamia 25
Matore ama gongwe 25
Karoti 25
Calflower (sijui kama nimepatia ). 25
Gharama ya mbegu hizi isizidi 100k unaweza punguza gram ilimradi tu nipate zote hizo.