Hello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa ubora(certified seeds) katika kampuni yetu. Mbegu zetu ni OPVs zenye ubora wakuaminika na zikiwa katika ujazo wa gram25.
Ofisi zetu zinapatikana Usariver Arusha.
Karibuni nyote muweze kujipatia mbegu bora za mbogamboga na katika bei rafiki.
Kwa mawasiliano tupigie kwa namba 0746762365/0626532223
Ofisi zetu zinapatikana Usariver Arusha.
Karibuni nyote muweze kujipatia mbegu bora za mbogamboga na katika bei rafiki.
Kwa mawasiliano tupigie kwa namba 0746762365/0626532223