Mbaya wenu karudi

Kula ndimu mimba Bado changa hio
 
Nimekuona kwa ID ya De Gunner na ku-interract na wewe mara kadhaa, nikajua ni kijana anayejitambua sana kutokana na michango yako.

Lakini binafsi mtu mwenye multiple IDs kwa forum ambayo haimuingizii kipato chochote naona kama ana shida mahali, nini sababu ya kuwa na IDs nyingi?

Huwa najitanga sana na watu wa aina yako, maana anaweza kuongea na wewe kwa ID A na kukusema vibaya kwa ID B. Kwangu bwana De Gunner umejishushia heshima kubwa sana.
 
Mzee, vijana wa hivyo wengi unakuta wanawashwa kutafuta engagement na umaarufu, haitoshi kabisa akaamua kujiita eleven jina la kike.

Hakuna mtu hapo
 
Actually, nilibugi mimi sio mtu wa namna hiyoo. Nawalijua tu maana it isn't my thing hizo tabia sio zangu kabisa ni vile tu sometimes we look for ways to justify our egos

Ni kweli kuna members wengi sana wataniona kivingine na there is nothing I can do about it. I know who I am and that's enough
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…