Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi ndiyo zile akili kubwa siyo zile za pimbi mburula mburula wasiokuwa na mbele wala nyuma, wasaka tonge na buku 7 za kina mpole mpole.
 
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Tanzania KapigWa fix na jiwe
 
Wanachokifanya CCM wanawapa nguvu Vyama vingine kama hivyo vya Nccr,CUF ili Chadema ikigoma mpk tume huru ya uchaguzi ipatikane then CUF,Nccr,Act wataendelea na uchaguzi kama kawaida na kupewa vijimbo viwili vitatu then chadema wakilalamika huko kwny jumuiya za kimataifa CCM itasema mbona wenzao wameshiriki uchaguzi fresh tu.

Inabidi kui counter attack hii strategy ya CCM kwa mbinu za kimedani.
Mleta uzi una akili sana kama Tundu Lissu. Nimeipenda sana hii lugha ya "Kiss of death"
 
Pole James Mbatia sidhani hata utapata diwani hata mmoja
 
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu na akili zenu mnaojua kuzisoma na kuzisema nyakati!
 
Naam!
 
Shikamoo bro

Back
Top Bottom