Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,062
- 285,682
😆😆😆😆James Mbatia vipi huko ulipo?
😆😆😆😆James Mbatia vipi huko ulipo?
Uchakachuaji huanza pindi mawakala huambiwa waondoke hakuna wapiga kura kulinda masanduku ya kuraHata sasa hivi hii tume ipo huru.Sababu inatakiwa ifanye kazi kwa mujibu wa katiba ya JMT. Ibara ya 74(7) inasema wazi kuwa tume ya uchaguzi ni chombo huru ambacho kinatakiwa kifanye kazi kwa mujibu wa sheria. Hapa Tanzania uchaguzi unapofanyika kila chama huwa na wakala kuanzia kituo cha kupiga kura,jimboni hadi ngazi ya taifa. Hii ni kwa mujibu wa sheria. Na hata kura zikijumlishwa kuna form anasaini na kubaki na copy. Hivyo by any means necessary muwe na tume kama Iebc au hata hii iliyopo, mtapigwa tu.
Namjua, hajawahi kuaminika ktk maisha yake yote!Wewe unamjua Mbatia lakini?!
Ahaaaa. Wapi mawakala wanaambiwa ondoka? Na kwa sheria ipi?Uchakachuaji huanza pindi mawakala huambiwa waondoke hakuna wapiga kura kulinda masanduku ya kura
Jadili mada iliyopo mezani.Vipi Mbona mbatia mmemchinjia baharini
SijuiWewe umeielewa?
Nipanic kwa lipi?Umepanic
Nini?Limekuingia kisawasawa
Neno linaenda kutimiaMbatia umeanza kujionea?
Duh...!.Huyu Pasco siku hizi anakuwaje???!!! Mbona kila kitu ni
Duh...!.
Kimei kamshika pabaya hana hamu alijua atakuwa KUB sasa hata yeye kuingia mjengoni ni ndoto za alinachaYu wapi James Mbatia?