Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

Mbatia's Endorsement ni Busu la kifo!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!
Mbatia ni ndumi la kuwili kama yule wa Kigoma!
Wao siku zote wanachoangalia ni maslahi binafsi na sio kingine zaidi!
Dhambi ya usaliti ukishaitenda daima itakuandamahadi mauti yako, hadi kaburi linakuwa na sura ya kiusaliti pia!
 
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imethibitika
 
Mkuu kinachotafutwa hapo sio Tume huru ili eti upinzani ushinde bali ni kuipa uhalali ushindi wa yeyote yule awe CCM au CHADEMA.

Unajua kipindi wapinzani wanadai mgombea binafsi na tume huru 2014 CCM wengi walikejeli ila shida inakuja pale mwana CCM akikatwa kura za maoni kwa rafu, hata akienda upinzani hana assurance ya kushinda anaanza kuona umuhimu wa tume huru.

Kwahiyo tume huru ikiombwa tusiangalie kwa jicho la kwamba Mbowe au Seif ndio wanataka ushindi bali hata kina Kassim Majaliwa au Makonda wataihitaji 2025!!
Wamuulize kilichomkuta Lowasa na Sumaye. Hawnaa hamu.
 
Hello Jf

Napenda kuandika kupitia JF kutuma salamu kwa Mbatia na kundi lake kuwa hii endorsement yao ni kiss of death!

Kuna taarifa kwamba Mbatia na Lipumba waliyakubali mapendekezo yote ya JIWE bila masharti wala marekebisho isipokua kwa maalim Seif peke yake.

Napenda nimkumbushe Mbatia kwamba akionacho sasa si matakwa ya akina Mbowe au yeyote mwana mageuzi isipokua ni nguvu ya wakati!

Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!!

CCM kiuhalisia haipo tena isipokua inaning'inia kwenye kamba nyepesi iitwayo DOLA.

Kukimbilia CCM kwa majira haya ni kama kukimbilia kifo!!

Hii task aliyopewa Mbatia kamwe asifikiri atashinda na NCCR kuibuka tena kamwe asifikiri hivyo.

Hii endorsement kwake is a kiss of death na itampoteza mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli umedhihirika KUDOS Lusungo
 
Wakati una nguvu kuliko vifaru vya jeshi na zana zote za vita!! Huu wakati ni muafaka kwa wana mageuzi kuvuna walichopanda na si kukimbia chombo na kujitosa kwa CCM!![emoji626][emoji1534]
 
Dah jf ni hatari
 
Mkuu tumuonee huruma au tumtose??
 
Back
Top Bottom