Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,166
- 24,633
Nimejikuta namkumbuka much.mtikila sijui kwannMkuu kinachotafutwa hapo sio Tume huru ili eti upinzani ushinde bali ni kuipa uhalali ushindi wa yeyote yule awe CCM au CHADEMA.
Unajua kipindi wapinzani wanadai mgombea binafsi na tume huru 2014 CCM wengi walikejeli ila shida inakuja pale mwana CCM akikatwa kura za maoni kwa rafu, hata akienda upinzani hana assurance ya kushinda anaanza kuona umuhimu wa tume huru.
Kwahiyo tume huru ikiombwa tusiangalie kwa jicho la kwamba Mbowe au Seif ndio wanataka ushindi bali hata kina Kassim Majaliwa au Makonda wataihitaji 2025!!
Sent using Jamii Forums mobile app