Mbatia anawazaje kuiuza NCCR Mageuzi?

Mbatia anawazaje kuiuza NCCR Mageuzi?

Kwani hao cdm walivyomkodishia huyo mzee tapeli la kisiasa chama watu wote waliwasifia? Huyo Mbatia anapewa ukweli wake huku mitandaoni, anaishia kujishuku. Kuna popote cdm kama chama wamesema lolote kumuhusu huyo Mbatiwa? Kama kaolewa kwingine, asianze kumnanga mume wa zamani kwa maneno ya wapambe. Amtumikie mume wake mpya bila aibu, kwani hakuna asiyejua kuwa tumbo halina adabu.
Sasa watu povu linawatoka la nini mkuu kama kweli kanunuliwa? Tatizo wabongo wameweka matumaini kwa hawa wanasiasa.
 
Kama kuna kitu CHADEMA mnachukia na hampendi kusikia ni ukweli wa Lowassa kununua chama yani ile ilikuwa ni big mistake....

Tafuta popote ninapokataa kuwa Lowassa hakuikodisha cdm, angekuwa ameinunua cdm angeenda nayo ccm alikorudi maana ilikuwa ni bidhaa yake. Sikuwahi kuunga mkono huyo mzee muhuni kuja cdm na kupewa nafasi ya kugombea urais, na wala sintokaa nitetee upuuzi ule. Sasa unapotaka kunilisha maneno kuwa sitaki huo ukweli wa chama kukodishwa, sijui unaaminisha nini.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Sasa watu povu linawatoka la nini mkuu kama kweli kanunuliwa? Tatizo wabongo wameweka matumaini kwa hawa wanasiasa.

Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake muda wowote atakao. Je kuna shida yoyote kwenye hilo?
 
Tafuta popote ninapokataa kuwa Lowassa hakuikodisha cdm, angekuwa ameinunua cdm angeenda nayo ccm alikorudi maana ilikuwa ni bidhaa yake. Sikuwahi kuunga mkono huyo mzee muhuni kuja cdm na kupewa nafasi ya kugombea urais, na wala sintokaa nitetee upuuzi ule. Sasa unapotaka kunilisha maneno kuwa sitaki huo ukweli wa chama kukodishwa, sijui unaaminisha nini.
Aliinunua akaitumia akagundua uwekezaji wake hauna tija akaiacha kwani wewe hujawahi nunua kitu au biashara mwisho ukaiterekeza baada ya kuona haijaleta matokeo uliyo tegemea. wapi nimekulisha maneno mimi ndiye nimesema Lowassa alinunua CHADEMA hata kuikodisha tu kunaiondolea CHADEMA moral authority ya kuwahoji wengine wanaonunuliwa maana wao walinunuliwa/kodishwa na mtu ambaye walianza wao kumwita fisadi, hasafishiki, na kila aina ya uchafu
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake muda wowote atakao. Je kuna shida yoyote kwenye hilo?
Kumwita mtu msaliti nayo ni maoni? Mtu akihama chama au akinunulia we mwananchi mwenzangu umesalitiwa nini hapo?
 
Aliinunua akaitumia akagundua uwekezaji wake hauna tija akaiacha kwani wewe hujawahi nunua kitu au biashara mwisho ukaiterekeza baada ya kuona haijaleta matokeo uliyo tegemea. wapi nimekulisha maneno mimi ndiye nimesema Lowassa alinunua CHADEMA hata kuikodisha tu kunaiondolea CHADEMA moral authority ya kuwahoji wengine wanaonunuliwa maana wao walinunuliwa/kodishwa na mtu ambaye walianza wao kumwita fisadi, hasafishiki, na kila aina ya uchafu

Kwa taarifa yako hakuinunua cdm bali alinunua nafasi ya kugombea urais. Mbowe na genge lake wakachukua pesa kwa ule mtindo wa Kubet lakini wakaishia kuliwa. Angeinunua cdm asingekaa aondoke, kwani hakuwa na mahitaji yoyote ya chama zaidi ya nafasi ya urais, na hata kama angeupata urais bado angejaza wanaccm wenzake kwani ndio ana asili nao. Jitahidi kutenganisha chama na cheo fulani ndani ya chama. Kuna popote cdm kama chama wanahoji mwenendo wowote wa Mbatia zaidi ya manazi huku mitandaoni? Nasisitiza jitahidi kutenganisha chama na watu binafsi.
 
Kumwita mtu msaliti nayo ni maoni? Mtu akihama chama au akinunulia we mwananchi mwenzangu umesalitiwa nini hapo?

Ni maoni ndio, labda kama unaamini maoni ni yale yanayokufurahisha ww. Chama ni watu, na hao wanaolia kusalitiwa ni wale wenye mitazamo iliyojeruhiwa.
 
Kwa taarifa yako hakuinunua cdm bali alinunua nafasi ya kugombea urais. Mbowe na genge lake wakachukua pesa kwa ule mtindo wa Kubet lakini wakaishia kuliwa. Angeinunua cdm asingekaa aondoke, kwani hakuwa na mahitaji yoyote ya chama zaidi ya nafasi ya urais, na hata kama angeupata urais bado angejaza wanaccm wenzake kwani ndio ana asili nao. Jitahidi kutenganisha chama na cheo fulani ndani ya chama. Kuna popote cdm kama chama wanahoji mwenendo wowote wa Mbatia zaidi ya manazi huku mitandaoni? Nasisitiza jitahidi kutenganisha chama na watu binafsi.
Chama ni cha Mbowe huwezi kukitenganisha chama na mbowe kama vingekuwa vinatenganishwa Lowassa asingeweza kukinunua/kukikodisha. Na huyo unayemwita kuwa ana genge lake walimkodisha CHADEMA Lowassa bado ndiye mwenyekiti wa kudumu wa chama sasa si mambo bado yale yale akipatikana mwingine wa kumkodisha/kumuuzia atakiuza? Wanaweza wasihoji mtandaoni ila mpaka kasema habari zao zimemfikia, wacha naye ale mema ya nchi akila Mbowe anashangiliwa akila Mbatia inakuwa nongwa.
 
Ni maoni ndio, labda kama unaamini maoni ni yale yanayokufurahisha ww. Chama ni watu, na hao wanaolia kusalitiwa ni wale wenye mitazamo iliyojeruhiwa.
Chasema ni mwenyekiti anachoamua ndicho hicho nidyo maana kila anayepingana naye lazima aitwe msaliti akiwemo Slaa aliyejaribu kuwaonyesha kuwa wanakosea mkamnanga kuwa msaliti sijui padri mla mihogo mkasahau alivyojitoa kwa ajili ya chama.
 
Ni maoni ndio, labda kama unaamini maoni ni yale yanayokufurahisha ww. Chama ni watu, na hao wanaolia kusalitiwa ni wale wenye mitazamo iliyojeruhiwa.
Mtu kahama chama katumia haki yake sasa unapomwita msaliti maana yake nini? Mtu kaamua kubadili mtazamo wake haingii akilini jambo la mtu kubadili mtazamo wake wa awali ni usaliti? Itakuwa ni upuuzi basi kwamba kila anayetofautiana mtazamo na mwenzake anakuwa msaliti.
 
Chama ni cha Mbowe huwezi kukitenganisha chama na mbowe kama vingekuwa vinatenganishwa Lowassa asingeweza kukinunua/kukikodisha. Na huyo unayemwita kuwa ana genge lake walimkodisha CHADEMA Lowassa bado ndiye mwenyekiti wa kudumu wa chama sasa si mambo bado yale yale akipatikana mwingine wa kumkodisha/kumuuzia atakiuza? Wanaweza wasihoji mtandaoni ila mpaka kasema habari zao zimemfikia, wacha naye ale mema ya nchi akila Mbowe anashangiliwa akila Mbatia inakuwa nongwa.

Uko sahihi sana kuwa chama ni cha Mbowe hilo wala halina mjadala, lakini Mbowe kuwa na chama ni jambo moja, na kuwa na wapenzi wa chama cha Mbowe ni jambo jingine. Pale ambapo Mbowe anapatia atasifiwa na sisi washabiki wa hicho chama chake, na pale atakapochemsha atapewa ukweli wake mchana kweupe.

Kwa mfano pamoja na kuwa chama ni chake na alishachemsha kwa kupokea hilo zee tapeli la kisiasa, saa hii hatakuwa na uwezo tena wa kumpokea Membe na kumpa nafasi japo angetaka iwe hivyo. Yote hayo ni kwakuwa sisi mashabiki wa hicho chama chake hatuko tayari kuona tena akikiuza/kukodisha hicho chama chake. Hiyo inaitwa mwenye chama anapoogopa washabiki. Hivi unadhani huyo Mbatia hakula mgao wa kukodisha chama wa Lowassa? Kwa hii njaa aliyonayo asingekubali kuwa ndani ya Ukawa bila mgao. Na kwakuwa alikula mgao ule haramu, saa hii anatapishwa hela za wanaume.
 
Tangu lini maoni yenu yakasikilizwa? Mara nyingi ninachoona ni zidumu fikra za mbowe? Yani mashabiki wanamuunga mkono anapoanza kula ulaji?
Wakati anapokelewa Lowassa mashabiki mliulizwa au mliona press conference wakitangaza kuwa wamempokea. Toka siku hiyo niliumia sana nikajua hakuna mwanasiasa anayepigania wananchi ila matumbo tu na sikupiga kura maana CCM sikuwa na wakubari na Chadema ndiyo walikuwa washanunuliwa
 
Mtu kahama chama katumia haki yake sasa unapomwita msaliti maana yake nini? Mtu kaamua kubadili mtazamo wake haingii akilini jambo la mtu kubadili mtazamo wake wa awali ni usaliti? Itakuwa ni upuuzi basi kwamba kila anayetofautiana mtazamo na mwenzake anakuwa msaliti.

Ni wapi mtu anatoka imani au chama fulani akasifiwa na watu wote? Wakati Lowassa katoka ccm kwenda cdm alikuwa anasifiwa na wanaccm wote, au waliheshimu huo uamuzi wake? Kuna kosa gani watu kuonyesha hisia zao kwa mtu asiye na msimamo?
 
Et mtu povu linamtoka analeta uzi kabisa humu fulani kanunuliwa ni msaliti,wewe inakuuma nini akinunuliwa? Umesalitiwa nini?
 
Hao wazee waliokuwa wakipinga sisi kupata uhuru waliona mbali sana. Inafaa tuwajuwe ili tuwawekee siku yao maalumu ya kutambua mchango wao uliofeli wa kututetea!
 
Tangu lini maoni yenu yakasikilizwa? Mara nyingi ninachoona ni zidumu fikra za mbowe? Yani mashabiki wanamuunga mkono anapoanza kula ulaji?
Wakati anapokelewa Lowassa mashabiki mliulizwa au mliona press conference wakitangaza kuwa wamempokea. Toka siku hiyo niliumia sana nikajua hakuna mwanasiasa anayepigania wananchi ila matumbo tu na sikupiga kura maana CCM sikuwa na wakubari na Chadema ndiyo walikuwa washanunuliwa

Maoni kusikilizwa au kutokusikilizwa haikuzuii watu kuyatoa. Ni kweli kuna ambao ni zidumu fikra za Mbowe, lakini si watu wote huunga mkono chochote atakacho Mbowe au kiongozi yoyote dunia hii. Hayo ni mambo ya kawaida sana kuwa kuna watu watamuunga mkono kiongozi wao kwa chochote, na wako kama sisi ambao tutaunga mkono panapotufurahisha na kupinga pale tusiporidhika. Yaani ww uipigie kura cdm au usiipigie ccm ni haki yako, na wote tutaheshimu huo mtazamo wako. Ila hilo halizuii wengine wenye mitazamo tofauti na ww kufanya yanayowafurahisha/kuamini.

NB: Rejea post yako, alama za kuuliza haziko sehemu sahihi. Fanyia kazi hilo ili twende sawa.
 
Inavyo onekana mbatia na chama chake wamesha fika bei kuwa sehemu ya chama cha kijani.

Sijui kama mrema na mbatia wana uhusiano wowote, tusishangae mbati kuhamia ccm mazima mazima na pengine kuchaguliwa kuwa waziri pamoja na kwamba atatoka nccr kama ilivyo kua kwa mrema.

Tatizo la mambo haya ni kwamba mwisho wake huwa u akua aibu.

Huwezi weka rekodi kwa kujiuza. Kuna watu kama kina kambona walikataa kujipendekeza, wakashikilia misimamo yenye maslahi lakini hadi leo wanakumbukwa.

Matatizo tunayo yapata leo, ni yale yale ambayo tiliyapata wakati wa kutafuta uhuru.

Kuna watu walinunuliwa na wakoloni ili wawasemee kwamba wamejenga reli, soko la kariakoo, barabara hivyo wanahaki ya kuendelea kutawala.

Pamoja na hao kulikua na kundi la werevu ambao bila kujali vitisho walisimamia wanacho kiamini na leo tunafurahia matunda ya uhuru ambao wasio itakia mema nchi hii wanataka kuturudisha kwenye ukoloni.

Mbatia unaonekana hata kwa sura umenunuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

True true
 
Et mtu povu linamtoka analeta uzi kabisa humu fulani kanunuliwa ni msaliti,wewe inakuuma nini akinunuliwa? Umesalitiwa nini?

Mhusika ka state the fact

Hajaweka uzi hapa kumpangia chama cha kutumikia!

Geez
 
Maoni kusikilizwa au kutokusikilizwa haikuzuii watu kuyatoa. Ni kweli kuna ambao ni zidumu fikra za Mbowe, lakini si watu wote huunga mkono chochote atakacho Mbowe au kiongozi yoyote dunia hii. Hayo ni mambo ya kawaida sana kuwa kuna watu watamuunga mkono kiongozi wao kwa chochote, na wako kama sisi ambao tutaunga mkono panapotufurahisha na kupinga pale tusiporidhika. Yaani ww uipigie kura cdm au usiipigie ccm ni haki yako, na wote tutaheshimu huo mtazamo wako. Ila hilo halizuii wengine wenye mitazamo tofauti na ww kufanya yanayowafurahisha/kuamini.

NB: Rejea post yako, alama za kuuliza haziko sehemu sahihi. Fanyia kazi hilo ili twende sawa.
Mbatia naye wacha ale maisha bwana anajua uraisi hawezi kupata ni bora afanye mkataba na shetani abaki na ubunge
 
Back
Top Bottom