Mbatia anawazaje kuiuza NCCR Mageuzi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Inavyo onekana mbatia na chama chake wamesha fika bei kuwa sehemu ya chama cha kijani.

Sijui kama mrema na mbatia wana uhusiano wowote, tusishangae mbati kuhamia ccm mazima mazima na pengine kuchaguliwa kuwa waziri pamoja na kwamba atatoka nccr kama ilivyo kua kwa mrema.

Tatizo la mambo haya ni kwamba mwisho wake huwa u akua aibu.

Huwezi weka rekodi kwa kujiuza. Kuna watu kama kina kambona walikataa kujipendekeza, wakashikilia misimamo yenye maslahi lakini hadi leo wanakumbukwa.

Matatizo tunayo yapata leo, ni yale yale ambayo tiliyapata wakati wa kutafuta uhuru.

Kuna watu walinunuliwa na wakoloni ili wawasemee kwamba wamejenga reli, soko la kariakoo, barabara hivyo wanahaki ya kuendelea kutawala.

Pamoja na hao kulikua na kundi la werevu ambao bila kujali vitisho walisimamia wanacho kiamini na leo tunafurahia matunda ya uhuru ambao wasio itakia mema nchi hii wanataka kuturudisha kwenye ukoloni.

Mbatia unaonekana hata kwa sura umenunuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuda alimsaliti Yesu mwisho wa siku alivuna alichopanda,Mbatia kuna Maisha baada ya hii Awamu

Huko mbeleni historia yetu ikitengamaa kuna kizazi kitamtangaza kambona ama hero,
Na Yule mganda aliyefanya mapinduzi Kule znz sijui amaitwa okelo!!?
 
Inavyo onekana mbatia na chama chake wamesha fika bei kuwa sehemu ya chama cha kijani.

Sijui kama mrema na mbatia wana uhusiano wowote, tusishangae mbati kuhamia ccm mazima mazima na pengine kuchaguliwa kuwa waziri pamoja na kwamba atatoka nccr kama ilivyo kua kwa mrema.

Tatizo la mambo haya ni kwamba mwisho wake huwa u akua aibu.

Huwezi weka rekodi kwa kujiuza. Kuna watu kama kina kambona walikataa kujipendekeza, wakashikilia misimamo yenye maslahi lakini hadi leo wanakumbukwa.

Matatizo tunayo yapata leo, ni yale yale ambayo tiliyapata wakati wa kutafuta uhuru.

Kuna watu walinunuliwa na wakoloni ili wawasemee kwamba wamejenga reli, soko la kariakoo, barabara hivyo wanahaki ya kuendelea kutawala.

Pamoja na hao kulikua na kundi la werevu ambao bila kujali vitisho walisimamia wanacho kiamini na leo tunafurahia matunda ya uhuru ambao wasio itakia mema nchi hii wanataka kuturudisha kwenye ukoloni.

Mbatia unaonekana hata kwa sura umenunuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia ametahadharisha waliokuwa ukawa. anaweza kutaga muda wowote mkiendelea kumdhihaki, hopeless and immaturity behaviour
 
Mbatia mhuni tu,anatishia jamb lisilo kuwapo,yy ni shushu Kama kuna baya lolote lililofanywa na ukawa Kwanini alisubiri juisi ndiyo aseme tena Kwa kitisho waache kumsema la sivyo atatoboa mtumbwi.utoto na aibu kwa mtu mzima.
 
Inavyo onekana mbatia na chama chake wamesha fika bei kuwa sehemu ya chama cha kijani.

Sijui kama mrema na mbatia wana uhusiano wowote, tusishangae mbati kuhamia ccm mazima mazima na pengine kuchaguliwa kuwa waziri pamoja na kwamba atatoka nccr kama ilivyo kua kwa mrema.

Tatizo la mambo haya ni kwamba mwisho wake huwa u akua aibu.

Huwezi weka rekodi kwa kujiuza. Kuna watu kama kina kambona walikataa kujipendekeza, wakashikilia misimamo yenye maslahi lakini hadi leo wanakumbukwa.

Matatizo tunayo yapata leo, ni yale yale ambayo tiliyapata wakati wa kutafuta uhuru.

Kuna watu walinunuliwa na wakoloni ili wawasemee kwamba wamejenga reli, soko la kariakoo, barabara hivyo wanahaki ya kuendelea kutawala.

Pamoja na hao kulikua na kundi la werevu ambao bila kujali vitisho walisimamia wanacho kiamini na leo tunafurahia matunda ya uhuru ambao wasio itakia mema nchi hii wanataka kuturudisha kwenye ukoloni.

Mbatia unaonekana hata kwa sura umenunuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rahisi mbona, Kwani CHADEMA ilinunuliwaje na Lowassa? Kila kitu kina bei yake tu mbona ukifika bei unanunua
 
Nadhani nccr ni kichaka cha wavaa suti nyeupe au dump la wasio jielewa.

Kafulila hoi

Mbatia hoi

Mrema hoi

Mbatia mhuni tu,anatishia jamb lisilo kuwapo,yy ni shushu Kama kuna baya lolote lililofanywa na ukawa Kwanini alisubiri juisi ndiyo aseme tena Kwa kitisho waache kumsema la sivyo atatoboa mtumbwi.utoto na aibu kwa mtu mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inavyo onekana mbatia na chama chake wamesha fika bei kuwa sehemu ya chama cha kijani.

Sijui kama mrema na mbatia wana uhusiano wowote, tusishangae mbati kuhamia ccm mazima mazima na pengine kuchaguliwa kuwa waziri pamoja na kwamba atatoka nccr kama ilivyo kua kwa mrema.

Tatizo la mambo haya ni kwamba mwisho wake huwa u akua aibu.

Huwezi weka rekodi kwa kujiuza. Kuna watu kama kina kambona walikataa kujipendekeza, wakashikilia misimamo yenye maslahi lakini hadi leo wanakumbukwa.

Matatizo tunayo yapata leo, ni yale yale ambayo tiliyapata wakati wa kutafuta uhuru.

Kuna watu walinunuliwa na wakoloni ili wawasemee kwamba wamejenga reli, soko la kariakoo, barabara hivyo wanahaki ya kuendelea kutawala.

Pamoja na hao kulikua na kundi la werevu ambao bila kujali vitisho walisimamia wanacho kiamini na leo tunafurahia matunda ya uhuru ambao wasio itakia mema nchi hii wanataka kuturudisha kwenye ukoloni.

Mbatia unaonekana hata kwa sura umenunuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi nikivyomsikia na kumsoma Mbatia amechanganyikiwa baada ya mwaliko wa ikulu. Ameanxisha uadui usiokuepo na vyama vya upinzani especially Cdm. Sijui wasomi wetu kwanini wanaingia mtego huu wa CCM ?! Nasema sijui.

Wapinzani wa kweli wampuuze Mbatia. Itakuwa Jambo jema . Kwa kadiri wanavyomjibu anapata umaarufu asiokuwa nao. Cdm wafanye nini na madhila yote wanayofanyiwa na utawala huu katili. Wameuawa, Wana kesi za uchochez karibu kila mahali, wameharibiwa mali zao etc !!
Mi nasema Mbatia apuuzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom