1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,304
Watanzania 85% wananjaa !Watu wenye njaa siku zote hukosa heshima.
Huwezi kupata mabadiliko ya kweli kwa kuwategemea watu walioshiba.
Harakati zote zinawategemea wenye njaa.
Wabaya zaidi ni wenye njaa ya madaraka kama Mbowe. Hawa wakikalia kiti hawatoki mana ni waroho wa madaraka na walevi wa madaraka.
Hatuwataki hawa mana watatuletea Taifa la kifalme.
Sent using Jamii Forums mobile app