Mbatia: Ajali ya MV NYERERE ni ya kujitakia tu

Mbatia: Ajali ya MV NYERERE ni ya kujitakia tu

Wazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
https://instagram.fdar1-1.fna.fbcdn...31_2094351240894474_7108074169481161526_n.mp4
hebu tazama haka kavideo kafupi tu ndiyo ujue tungekuwa tuna waokoaji wasingepoteza maisha watu wengi hivi....
 
Ajali zote zilizotokea kwenye ziwa Victoria zinatokana na kihere here cha abiria cha kutaka kushuka kabla ya kufika bandarini hivyo ku disturb uzito wa chombo kama ilivyotokea jana na Mv Bukoba. So wa kulaumiwa ni abiria wenyewe... Wengine wanafuata.
Acha kuongea kishabiki, MV Bukoba ilikuwa ishaonekana haifai kutumiwa miaka zaidi ya 10 kabla ya kuzama kwake, tena ilikuwa na tatizo ya tanki moja linalofanya meli iwe na balance.
Hicho kivuko mbunge alishawahi kukiongelea. Yani tatizo tunatumia vyombo vibovu, uwa nikiona ile meli ya kigoma ile ambayo ililetwa na wa Germany kwenye vita ya dunia wakaizamisha then baada ya vita ikaibuliwa inatumika mpaka leo uwa nawaza kifo maana inafanana scraper
 
Acha kuongea kishabiki, MV Bukoba ilikuwa ishaonekana haifai kutumia miaka zaidi ya 10 kabla ya kuzama kwake, tena ilikuwa natatizo ya tanki moja linalofanya meli iwe na balance.
Hicho kivuko mbunge alishawahi kukiongelea. Yani tatizo tunatumia vyombo vibovu, uwa nikiona ile meli ya kigoma ile ambayo ililetwa na wa Germany kwenye vita ya dunia wakaizamisha then baada ya vita ikaibuliwa inatumika mpaka leo uwa nawaza kifo maana inafanana scraper
Hata hii itaibuliwa na kuendelea kupiga mzigo kama kawaida.
 
Ajali zote zilizotokea kwenye ziwa Victoria zinatokana na kihere here cha abiria cha kutaka kushuka kabla ya kufika bandarini hivyo ku disturb uzito wa chombo kama ilivyotokea jana na Mv Bukoba. So wa kulaumiwa ni abiria wenyewe... Wengine wanafuata.
Huyu jamaa anavyoongea utadhani chombo kilikuwa kibovu au uzembe wa serikali
 
Ajali zote zilizotokea kwenye ziwa Victoria zinatokana na kihere here cha abiria cha kutaka kushuka kabla ya kufika bandarini hivyo ku disturb uzito wa chombo kama ilivyotokea jana na Mv Bukoba. So wa kulaumiwa ni abiria wenyewe... Wengine wanafuata.
Zero brain kabisa wewe!
Hebu tueleze ni ajali gani ambayo ilitokea tena kwa hao abiria kukimbia ili kuwahi kushuka? Hoja yako ni dhaifu mno..
Chombo kina uwezo wa kubeba watu 100, then wanaingia 400 unategemea nini?
Mamlaka hisika zinafumbia macho then matokeo ndio hayo!
Hakuna watu wa kuwaongoza abiria namna ya kujipanga wakati wa kushuka...
Kinawekwa kivuko kimoja sehemu yenye idadi kubwa ya abiria...
 
Lakini kwanini tusiwe wabunifu na kubuni trafic police wanaoweza kukaa majini kukagua vyombo hivi kama wanavyokutwa barabarani wakikagua magari kila siku. Naona kwa upande wa majini wenzetu kule ni "Trafic Police free zone"
 
Zero brain kabisa wewe!
Hebu tueleze ni ajali gani ambayo ilitokea tena kwa hao abiria kukimbia ili kuwahi kushuka? Hoja yako ni dhaifu mno..
Chombo kina uwezo wa kubeba watu 100, then wanaingia 400 unategemea nini?
Mamlaka hisika zinafumbia macho then matokeo ndio hayo!
Hakuna watu wa kuwaongoza abiria namna ya kujipanga wakati wa kushuka...
Kinawekwa kivuko kimoja sehemu yenye idadi kubwa ya abiria...
Wewe jiniaz umefanya nini kuzuia ajali zaidi ya kulaumu? By the way, kama Mola ameamua kuvuna kwenye shamba lake wewe inakuhusu nini? Inatupasa kuwapa proper burial marehemu huku na sisi tukisubiri zamu yetu ya kuvunwa!
 
Unachekesha kweli, kwa hiyo ukiwa na shamba lako ukaacha kulinda mazao kwa uzembe kisha ngedere wakalivamia utasema ilikuwa riziki yao?
Mnamsingizia Mungu bure hapa...
 
Kivuko cha Nyerere kimezama.Je tutafika?Nani atatuvusha bahari ya mawimbi?
 
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amesema kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere katika Ziwa Victoria ni ajali ya kujitakia.
Mbatia ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Septemba 21, 2018 katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho, Ilala jijini Dar es Salaam, akisema zaidi ya asilimia 96 ya majanga yanasababishwa na wanadamu, asilimia nne tu ndiyo majanga asilia.

Soma Zaidi: Odinga atuma salamu za rambirambi ajali ya MV Nyerere
Mbunge huyo wa Vunjo akizungumzia kiundani kuhusu majanga, alieleza aina tatu za majanga na kubainisha kuwa kuzama kwa meli hiyo jana mchana Septemba 20, 2018, ni janga lililokuwa likijulikana, wahusika walikuwa wakijua.

Amesema Taifa linapopata janga moja kubwa, hutoa elimu ya kujikinga ili janga kama hilo lisijitokeze tena.
“Ukiacha ajali hii ya kivuko, meli za MV Spice Islanders na MV Bukoba ambazo zote zilizama, zilikuwa elimu tosha na hizi ajali za meli kuzama hazikupaswa kutokea tena,” amesema Mbatia.

“Ukikusanya ajali hizi ukiwa na takwimu sahihi za kutosha na rejea ya majanga unaweza kujua jinsi ya kuokoa raia, kulinda raia ili yasitokee tena majanga badala ya kulalamika na kunyoosheana vidole, kushikana mashati.”

Amesema ajali za aina hiyo zinapotokea, wengi huishia kutoa pole jambo ambalo halisaidii.
Amesema iwapo mapendekezo yaliyotolewa na Jaji Robert Kisanga baada ya kutokea kwa ajali ya MV Bukoba mwaka 1996, ufumbuzi wa nini kifanyike inapotokea ajali ya aina hiyo ungekwishapatikana.

Soma Zaidi: Wananchi wahoji kusitishwa kwa muda uokoaji ajali ya MV Nyerere
Mbatia ameshauri kuanzishwa kwa sheria ya wakala wa usimamizi wa maafa kwa lengo la kuwalinda na kuwakinga wananchi.

"Kupanga ni kuchagua, kama walikuwepo wa Chadema walikufa, wa CUF walikufa wa NCCR walikufa, kitengo hicho licha ya kupigiwa kelele hakikuundwa na wanaozungumza ni Polisi, Mkuu wa Mkoa siyo watu maalumu wa maafa wenye elimu ya masuala hayo,” amesema.

"Mara nyingi ninazungumza bungeni kuikumbusha Serikali wajibu wake namba moja wa kulinda raia. Siasa na kubezana kunapoteza maana.”
Mbatia alimtolea mfano mbunge wa Ukerewe (Chadema), Joseph Mkundi aliyeonya juu ya kivuko hicho kuwa hakikuwa katika hali nzuri, hakuna aliyejali mpaka imetokea ajali hiyo.

Amesema Serikali ilimpa majibu mbunge huyo bungeni lakini haikutoa majibu sahihi, kwamba kama majibu yangetolewa ya kina, ajali hiyo isingetokea.
Mbatia acha uchochezi, mv nyerere haikuwa na tatizo. Ila wahusika wa hiyo meli ndo wanatatizo kwa kubeba abiria wengi kuliko uwezo wa meli. As you see engine zishafungwa kitambo tu
IMG-20180921-WA0015.jpg
 
Unachekesha kweli, kwa hiyo ukiwa na shamba lako ukaacha kulinda mazao kwa uzembe kisha ngedere wakalivamia utasema ilikuwa riziki yao?
Mnamsingizia Mungu bure hapa...
Acha kelele. Subiri zamu yako ya kuvunwa!
 
Back
Top Bottom