wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Mkuu Mungu hapangi watu wafe,Yaliyopangwa na Mungu, hakuna binadamu wa kuyazuia. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Mkuu Mungu hapangi watu wafe,Yaliyopangwa na Mungu, hakuna binadamu wa kuyazuia. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Labda angekuwa Mbunge wa CCM pengine wangemsikia
Gentleman, you have missed a point, Mbatia hakusema kuwa hakuna kitu ajali, bali amesema ajali zinazotokea Tanzania zingeweza kuepukika kwa sababu nyingi zinatokana na makosa ya kibinadamu. Tofauti na Tanzania, ajali za ndege ni kama asilimia 4 zinasababishwa na human errors na 96% ni pure ajaliWazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
Hata kwenye biblia inasema, hakika mtakufa. Unahisi alilengwa nani kwenye haya maandiko!?Mkuu Mungu hapangi watu wafe,
Unachekesha kweli,kale ka usemi ka bwana ametwaa hukubaliani nako?,Mkuu Mungu hapangi watu wafe,
Kukosa akili nako ni kipaji mkuu,kwani hapa tunaongelea ndege??Wazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
Mifano iko mingi. Nimechukua mmoja. Na wewe unaweza ukatolea mfano kitu kingine... Au sio? Relax...Kukosa akili nako ni kipaji mkuu,kwani hapa tunaongelea ndege??
Anzisha uzi wako ndo utolee mifano hiyo ya ajabuajabu!.inaonesha kichwani ni mtupu!??Mifano iko mingi. Nimechukua mmoja. Na wewe unaweza ukatolea mfano kitu kingine... Au sio? Relax...
Wazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
"Kwa kuwa wewe na chama chako mmekataa bajeti ....sikupi hela ya kukarabati kivuko"Unataka uchungizi gan wakati mbunge alishasema mapema bungen wakampuuza kwa vile n mpinzani
Kwa hiyo unataka kusema hata kama maoni ya mbunge wa ukerewe yangefanyiwa kazi ajali hii ingetokea tu tarehe ya jana, saa, dakika na sekunde ile ile?Wazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
Whaaat! Kama hatuwezi kuzuia ajali kwa asilimia 100 basi tufanye uzembe tu? Unajua tangu binadamu aanze kuruka mara ya kwanza ame-improve kiasi gani kwenye mambo ya usalama wa anga? Unajua kwa siku zinaruka ndege ngapi duniani kote na ajali zinazotokea ni chache sanakulinganisha na idadi ya ndege? Unajua hili limewezekana kwa sababu ya watu wenye busara wanaojifunza kila ajali inapotekea na hawakati tamaa kama wewe kwa kusema hatuwezi kuzuia ajali? Unakuwa kama una elimu ya kuunga bwana!Wazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
Tuondoe traffic na humps na vidhibiti mwendo barabarani,maana ajali hazizuiliki,Wazungu wameanza kudondoka na ndege zaidi ya miaka mia iliyopita. Ila mpaka leo hawajaweza kufanya usafiri wa anga uwe accident free...
In the end of the day, hakuna anayeweza kuzuia ajali kwa asilimia mia. Tunachofanya ni kuminimize impact ya ajali na kupunguza kabisa uwezekano wa kutokea ajali.
Ajali zote zilizotokea kwenye ziwa Victoria zinatokana na kihere here cha abiria cha kutaka kushuka kabla ya kufika bandarini hivyo ku disturb uzito wa chombo kama ilivyotokea jana na Mv Bukoba. So wa kulaumiwa ni abiria wenyewe... Wengine wanafuata.Nilidhani atakuwa amefafanua za kujitakia kivipi?? Na nani wa kulaumiwa sasa??