Kitendo cha Mkiti wa NCCR James Mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya NCCR na CHADEMA kuongoza halmashauri ya Uvinza yamesababisha CCM kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya Makamu Mkiti wa Halmashauri hiyo.
Kwa upande wa nafasi ya Mkiti uchaguzi umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena baada ya vyama vyote vitatu kushindwa kupata theluthi mbili ya kura.
Katika nafasi ya Mkiti vyama vyote vitatu viliweka wagombea ambapo CCM ilipata kura 8 CHADEMA kura 7 na NCCR kura 6.
Nafasi ya Makamu Mkiti mgombea wa CCM hakuwa na mpinzani na alipita bila kupingwa.
Katika makubaliano ya awali ngazi ya wilaya na mkoa vyama vya NCCR na Chadema vilikubaliana kuachiana nafasi ambapo ilukubaliwa CHADEMA igombee nafasi ya Mkiti na NCCR Makamu Mkiti.
Katika hali ya kushangaza siku ya kurudisha fomu vyama vyote viwili vilirudisha fomu nafasi ya Mkiti na NCCR ikakataa kugombea nafasi ya Makamu Mkiti hivyo mgombea wa CCM akapita bila kupingwa.
Inadaiwa Mkiti wa NCCR James Mbatia ndiye aliingilia kati kuvunja makubaliano ya vyama hivyo na hatimaye ushindi ukawa upande wa CCM
Ni kweli inavyoonekana NCCR wataunga mkono CCM kwenye nafasi ya Mkiti pia.
Kama unataka kupotosha, jua unapotosha tu waliozaliwa baada ya 2010... Vyama vyote vya upinzani vyenye wabunge ndivyo vilivyokataa kujumuishwa kwenye kambi rasmi ya upinzani. JF yenyewe inatosha kukukumbusha, nenda kwenye previous threads kama umesahau...
kweli ushindi ni hila
Kitatokea kilichotokea Arusha kwenye kura za udiwani
chadema hawataki kushirikiana na vyama vya vingine bungeni kwa nini ushirikiano uwepo kwenye halmashauri tu nampongeza mbatia kila mtu afe kivyake na abebe mzigo wake.
kitendo cha mkiti wa nccr james mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya nccr na chadema kuongoza halmashauri ya uvinza yamesababisha ccm kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya makamu mkiti wa halmashauri hiyo.
Kwa upande wa nafasi ya mkiti uchaguzi umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena baada ya vyama vyote vitatu kushindwa kupata theluthi mbili ya kura.
Katika nafasi ya mkiti vyama vyote vitatu viliweka wagombea ambapo ccm ilipata kura 8 chadema kura 7 na nccr kura 6.
Nafasi ya makamu mkiti mgombea wa ccm hakuwa na mpinzani na alipita bila kupingwa.
Katika makubaliano ya awali ngazi ya wilaya na mkoa vyama vya nccr na chadema vilikubaliana kuachiana nafasi ambapo ilukubaliwa chadema igombee nafasi ya mkiti na nccr makamu mkiti.
Katika hali ya kushangaza siku ya kurudisha fomu vyama vyote viwili vilirudisha fomu nafasi ya mkiti na nccr ikakataa kugombea nafasi ya makamu mkiti hivyo mgombea wa ccm akapita bila kupingwa.
Inadaiwa mkiti wa nccr james mbatia ndiye aliingilia kati kuvunja makubaliano ya vyama hivyo na hatimaye ushindi ukawa upande wa ccm
Sasa unalalamika nini?
aisee hawa jamaa wa chadema huwa nacheka sana na kuwashangaa sana hivi karibuni Tundu Lisu alisema chama pinzani Tanzania ni cdm pekee vingine ni ccmb sasa imakuwaje wanapotaka vyeo wanaenda kwa hao hao ili wawaunge mkono? halafu kwa nini wasingegombea umakamo na nccr wagombee umwenyekiti kwa hiyo wanataka wao wawe na power kuliko wengine mimi nawashauli waache kulialia na wajue mtenda akitendewa huhisi kuonewa
Acha kiherere wewe utaolewa unatafuta mwanaume hapa JF?? hapa sio mahali pake!!wewe ndio Kisandu??hiyo 7000 iskufanye punguani!!Out of topic, kaanzishie mada tutachangia, hapa tunajadili uroho wa machadema ambao sasa umeanza kuwatokea puani