Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

By Wimana

Chadema wamejipambanua kama chama cha upinzani, hiyo ilikuwa nafasi ya NCCR pia nao kujipambanua kuwa ni wapinzani lkn kwa hili tunapata kujua chama cha upinzani Tanzania ni kipi.

Kwa kifupi; NCCR wanepoteza fursa mujarab kwenye siasa Tanzania, kama CDM walikuwa wapo tayari kushirikiana na NCCR, NCCR nao walikuwa wapige hatua mbele kupokea mkono wa shirika kutoka CDM. Sasa ktk hali hii unaona wapi kuwa CDM walifanya makosa kwa kutowashirikisha NCCR kwenye kamba rasmi y upinzani Bungeni? Tafakari!

unachofanya ni sawa na kupima kina cha maji kwa miguu yote miwili kwa nini chadema walikataa kushirikisha vyama vingine vya siasa kuunda kambi ya upinzani bungeni kwa madai kwamba vyama vingine vya upinzani ni vyama uchwara sasa leo mnalalamika nini.
Ktk hili bila shaka utaona wazi na utakubaliana kuwa vyama vingine vya upinzani ni vyama uchwara kikweli.

wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa, hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika na wewe si msemaji wa chama, pamoja na yote NCCR-mageuzi ni chama makini muulizeni kioongozi wenu wa kitaifa aliyetaka kuwahonga madiwani wa NCCR-mageuzi baada ya kuchomolewa akajiwahi kuongea mitaandaoni.Hatufanyi siasa za kinafiki mbona ya Arusha hatusemi madiwani wenu. kweli nyani haoni kundule.CHADEMA acheni kueneza uzushi.
Mods plz, pandisheni majibu ya kisandu aliyefafanua uzushi, upotoshaji na uongo wa mleta mada km ambavyo mmekuwa mkifanya kwa wengine.

cc
Invisible
BUCHAnAn
Mods wote

Mpe za uso mjinga huyu anatumika huku anajua, hawana adabu wanajiona wao ndio wajuaji wengine wote hawana maana. Molemo ni mnafiki sana halafu hupenda kukimbilia jf kujitetea ujinga wake kwa id tofauti tofauti
Wewe ndiye unatumika vibaya ndio maana hata Rep Power : 0

Nani umemuona analia? sisi hatutaki Vyama ambavyo vimeolewa na CCM
Mbona we umeolewa? Sasa mnakuja kujitetea hapa jf ili iweje? Mnatafuta huruma ili iweje? Nyie mbona mliunda kambi ya chadema bungeni mnadhani wenzenu ni wazezeta?? Au wao ni punda wa kupandia?? Jinga kweli nyie

Mbatia ananikumbusha hadith iliyovuma sana kule Iringa miaka ya nyuma juu ya Mburuba mmoja aliyebatisha kuwa mbunge wa kule kwa jina akijulikana kama madam/ms Venancia Mwamoto. Huyu mtu alipoona ubunge unapeperuka kwenda mahali sahihi akaanza kuhamasisha watu wapigie upinzani ili yeye na mshindani wake wote wakose. Nilipata nafasi ya kuongea nalo pale Dar E Salaam lile jamaa nikaliona kweli ni juha kati ya majuha. Sikui hata kama lilikuwa na uwezo hata wa kuongoza familia yake. Jamaa kichwani hakuna kitu, halafu eti libunge litutungie sheria. Nilitamka tu kwamba jamaa hili kwenye bunge letu basi na sikulisikia tena lilikwendaga kupoteza muda wa maendeleo ya watu wapi.

Watu kama hawa wanakuwa hawana upendo na watu wao wala hawana uchungu na matatizo halisi na wanagombea nafasi za uongozi kwa maslah yao binafsi.

Naomba NCCR itafute Mwenymekiti mwiningine, hawa wanaojilinganisha na wanawake hawa, inakuwa ekuamini kabisa kabisa aina zao.

Ondoeni mbatia. Aibu kwa chama.

wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa, hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika na wewe si msemaji wa chama, pamoja na yote NCCR-mageuzi ni chama makini muulizeni kioongozi wenu wa kitaifa aliyetaka kuwahonga madiwani wa NCCR-mageuzi baada ya kuchomolewa akajiwahi kuongea mitaandaoni.Hatufanyi siasa za kinafiki mbona ya Arusha hatusemi madiwani wenu. kweli nyani haoni kundule.CHADEMA acheni kueneza uzushi.
Kabla ya kuchangia mada yako kwanza nikuulize Bado wazo la kugombea urais unalo?Kama ndio ni Tanganyika, Tanzania au Zanzibar? Tuje kwenye hoja yako yako umesema kamanda Molemo ni muongo na mnafiki kinachonishangaza ni kuwa hukuweka wazi ukweli ni upi? na tena umekuja na tuhuma kubwa sana kuwa viongozi wakuu wa chadema walitaka kuwahonga madiwani wa NCCR fine tuwekee wazi majina ya hao viongozi na ushaihidi kamili ili wanachama tuwahumu otherwise kama wewe ni mpenda haki na mchukia rushwa wasilisha hili swala TAKUKURU Haraka maana kwa kuwa ni chadema watalifanyia kazi haraka, otherwise nitaku regard kama debe tupu tuu na mtu mwenye hasira na chuki baada ya kutimuliwa chadema! Last but not least kwako wewe ni lipi jema halmashauri kwenda CCM au kubaki ikiongozwa na upinzani?Niletee majibu Kisanduku!

Ktk hili bila shaka utaona wazi na utakubaliana kuwa vyama vingine vya upinzani ni vyama uchwara kikweli.
Machadema ndio ya uchwara kwa kuwadharau wenzao kujiona yenyewe ndio ya maana sana,huku yanamwagia watu tindikali na kuwalisha sumu

By Wimana

Chadema wamejipambanua kama chama cha upinzani, hiyo ilikuwa nafasi ya NCCR pia nao kujipambanua kuwa ni wapinzani lkn kwa hili tunapata kujua chama cha upinzani Tanzania ni kipi.

Mbona km hutumii kichwa sawa sawa?? Kwa hiyo machadema ndio kipimo cha upinzani?? Acha ujinga ww. Nccr ni nccr na machadema ni machadema, mara ngapi mnawatukana wapinzani wenzenu?? Jana ulimsikiliza mgonjwa wenu tundu lisu star tv kuwa hakuna chama cha upinzani ila machadema pekee?? Kwa hiyo mnawathamini wenzenu mnapotaka kuwatumia kimaslahi km ww unavyotumika hapa jf kimaslahi?????????????????????????????????? Look u

Yaani mpaka hapo hujapata uthibitisho wa madai ya Chadema kuhusu wapinzani wengine!

Kuomba ushirikiano na NCCR kuhusu uenyekiti wa Halmashauri ilikuwa ni kuitumbukiza litmus paper kwenye tindikali ili kuitest.

Kabla ya kuchangia mada yako kwanza nikuulize Bado wazo la kugombea urais unalo?Kama ndio ni Tanganyika, Tanzania au Zanzibar? Tuje kwenye hoja yako yako umesema kamanda Molemo ni muongo na mnafiki kinachonishangaza ni kuwa hukuweka wazi ukweli ni upi? na tena umekuja na tuhuma kubwa sana kuwa viongozi wakuu wa chadema walitaka kuwahonga madiwani wa NCCR fine tuwekee wazi majina ya hao viongozi na ushaihidi kamili ili wanachama tuwahumu otherwise kama wewe ni mpenda haki na mchukia rushwa wasilisha hili swala TAKUKURU Haraka maana kwa kuwa ni chadema watalifanyia kazi haraka, otherwise nitaku regard kama debe tupu tuu na mtu mwenye hasira na chuki baada ya kutimuliwa chadema! Last but not least kwako wewe ni lipi jema halmashauri kwenda CCM au kubaki ikiongozwa na upinzani?Niletee majibu Kisanduku!
Out of topic, kaanzishie mada tutachangia, hapa tunajadili uroho wa machadema ambao sasa umeanza kuwatokea puani

Nani umemuona analia? sisi hatutaki Vyama ambavyo vimeolewa na CCM

Nyie kina nani? kila Mtanzania ana haki ya kuchaguwa chama anachokitaka wewe unataka wote tuwe mateka wa Dr Slaa na Mbowe kama wewe.

kama NCCR ilikubali kuipa chadema ushirikiano kwenye vikao kisha ikawageuka basi haifai kuthaminiwa na wananchi ila kama chadema iling'ang'ania uenyekiti tu bila kuisikiliza NCCR kwakuwa ina madiwani wengi huu ni uroho wa wazi wa madaraka na kama ndo chadema ilivyo ctaona tofauti kati yake na Nyinyiemu.

Watanzania tuna matatizo na ndio maana tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa huku tukizungukwa na utajiri wa kutisha! Fitina na Unifiki ndivyo vinatumaliza ambavyo kimsingi kila binadamu aliyeendelea ilikuwa ni baada ya kuzikana hizo tabia mbaya kabisa katika muumbo wa binadamu.
(Nakumbusha tukio lisilo muhimu sana) Pale msanii wa bongofleva Judith Wambura alipoandaa onyesho lake kwa nia njema ya kuonyesha mafanikio aliyodhani ameyapata katika kipindi fulani, ghafla mara akatokea kijana ambaye watu hawakumtarajia kutokana na alivyo smart upstairs (kama Mh. Mbatia katika uchaguzi huu) si kwa nia ya kuonyesha uwezo wake bali kwa nia ya kumharibia Judith!
Sidhani kama naenda nje ya mjadala lakini nataka kuonyesha ni jinsi gani watu wa taifa moja, rangi moja, rika moja nk wanaweza kufanya bidii tatizo lisiondoke. Ukiuliza kwa nini sasa ....jibu hata halipo, yaani ni ajabu!

Hivi bungeni Chadema wameshirikiana na vyama gani kwenye kuunda kambi ya upinzani.

wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa, hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika na wewe si msemaji wa chama, pamoja na yote NCCR-mageuzi ni chama makini muulizeni kioongozi wenu wa kitaifa aliyetaka kuwahonga madiwani wa NCCR-mageuzi baada ya kuchomolewa akajiwahi kuongea mitaandaoni.Hatufanyi siasa za kinafiki mbona ya Arusha hatusemi madiwani wenu. kweli nyani haoni kundule.CHADEMA acheni kueneza uzushi.

Wewe ndiyo mnafiki namba moja usiye na aibu.

Kabla hujaandika upuuzi kama huu ungewasiliana kwanza na mbunge wa Chama chako David Kafulila akupe shule.

Mods please tunaomba mchunguze ukweli wa thuma hizi kama kweli kulikuwa na hayo makubaliano na kama kweli yamevunjwa
Na kana kwamba haitoshi ithibitishwe pia kwamba ni Mwenyekiti Mbatia ndio katoa amri makubaliano hayo yavunjwe

Vinginevyo mleta mada @Malemo achukuliwe hatua za kinadhamu kwa kuleta habari za kizushi na kichochezi kama alivyo adhibiwa Mwampambwa

chadema hawataki kushirikiana na vyama vya vingine bungeni kwa nini ushirikiano uwepo kwenye halmashauri tu nampongeza mbatia kila mtu afe kivyake na abebe mzigo wake.[/QUOTE

Wewe mbona hujielewi kwani hapo mbatia kafa kivyake c kawaunga mkono ccm?

Similar Discussions

Back
Top Bottom