Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

Sasa unalalamika nini?

vp wajiskiaje kuongozwa na mtu alieshinda kwa hila? anyway mke (NCC..) atafanya lolote mumewe(nyinyiem) asiaibike. huo ndo mtizamo wangu. lets create fair field 4 all to compete...
 
Sasa unalalamika nini?

wanaCCM bana..ktk hili uchaga na ukaskazn wa mbatia hauonekani...ila subiri awapinge ndo utajua kabila na kanda yake. Tufike mahali tuijadili hoja kwa mapana yake na udini ukabila au ukanda ni kuonesha kufilisika kifikra. napita tu jameni...
 
je makubaliano hayo yalihitaji ridhaa ngazi ya taifa? huwenda wameogopa yasije kutokea km ya wale masalia wa arusha
 
Hajaipa CCM ushindi, ila ni CCM imejishindia.
NCCR ni CCM si chama cha upinzani kama unavyofikiri.
CCM imempa Mbatia ubunge wa viti maalum ili kuliko Chadema iwe chama cha upinzani bora Mbatia a-present upinzani , hii ni kwa mujibu wa hao CCM wanavyoona.
Chadema haiingiliki kishenzi wala ki pu mba vu.
 
ngoja ataona mwakani kwenye uchaguzi.ndio wataona NCCR hakuna kitu.tutaendesha almashauri nyingi sana Tanzania
 
Duu hawa MACDM wanapenda sana madaraka na vyeo...wapo tayari kuungana na adui kisa madaraka lol. CDM Kama mnataka ushirikiano basi anzeni nyie bungeni wenzenu wawafuate na sio wenzenu mnawaona malofa na wajinga. Mnachokitaka nyie ndio kiwe sahihi haitawezekana hata kidogo.

Hata biblia inasema " mshahara wa Mauti ni dhambi" nanyi mshahara wa usaliti ni chuki na fedheha. Msilalame na msipoangalia CCM itashinda na uwenyekiti tusubiri.
 
ngoja ataona mwakani kwenye uchaguzi.ndio wataona NCCR hakuna kitu.tutaendesha almashauri nyingi sana Tanzania

Halmashauri na sio almashauri sawa dogo? Sasa kizungu hujuwi Kiswahili hujuwi unachojua wee ni nini? M4 chaga tu? Hujachelewa dogo nenda shule kasome achana na ushabiki w siasa tena wee si una miaka hata 20 haifiki? Unachelewa sana dogo ya CDM waachie wenyewe wee nenda soma dogo wangu.
 
Mbatia analipa fadhila kwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa kwani suala la kuteuliwa kuwa Mbunge si dogo kwake.Hapo ndipo ninapokubaliana na Kafulila kwamba Mwanaume aliyeshindwa na Mwanamke katika nafasi ya Ubunge hawezi kukiongoza chama ipasavyo!


Acha mfumo dume huo,,,kwanza aliyemshinda mbatia mwenyewe ana sifa kibao za kiume
a. Sauti yake akinguruma basi mpaka uangalie hereni ndo utajua ni mwanamke
b. Sura yake pia kidogo anakaa kaa kama mwanaume vile

Hivyo alisitahili kuchukua jimbo
 
CCM imeingia rasmi katika ndoa za mitaala. Wake wawili CUF mke mkubwa na mke mdogo NCCR sijui mapenzi ya mume yamelalia kwa mke yupi. Tusubiri tuone muelekeo wa hii ndoa.
 
Hivi wana jf na Chadema mlitegemea nini hapo,Mbatia kuipa CDM uongozi? hili suala lilikuwa wazi iwe hivyo chini ya M/kiti Mbatia,NCCR ingekuwa inaongozwa na mtu tofauti anayejua na kuheshimu upinzani hapo ingepasa tulalamike lkn kwa Mbatia,tuseme tu ila tusiumize vichwa CDM wajipange uchaguzi ujao wafanye kweli wakae chonjo na huyo mlipa fadhila.

Bahati mbaya hakuna anaejuwa upinzani. Unaonaje CDM ingekubali kuwa makamo mwenyekiti na uenyekiti akaiwachia NCCR?
 
Kweli watu mazezeta, Juzi Tundu Lisu anahojiwa Star TV anaonyesha dharau ya wazi kwa Vyama vingine na kusema Wapinzani ni Chadema peke yake, Maskini Mnyiramba huyu bila kujitambua watu wanamsikia, amelewa na madaraka ya Unadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Limbukeni.
Sasa nashangaa Chadema kwa suala la Uvinza kuanza kulalamika nisawa na kujipaka matope, wanatakiwa kushangilia na kutosheka na kebehi yao ya kibunge, wamesahau huku chini ndiko wananchi waliko.
UPUUZI kuisingizia CCM, ni UJUHA kuisakama NCCR-mageuzi, Ni UPUNGUANI kuishabikia Chadema kwa dharau inayodhihirika.
Mbegu inayopandwa na Akina Tundu Lisu itazaa miiba siku sio nyingi, itawachoma wenyewe, hii ni Hatari kwa upinzani siku chache zijazo.
 
vp wajiskiaje kuongozwa na mtu alieshinda kwa hila? anyway mke (NCC..) atafanya lolote mumewe(nyinyiem) asiaibike. huo ndo mtizamo wangu. lets create fair field 4 all to compete...

Mngeshinda viti vyote kama ni rahisi.
 
mimi kiswahili sijui nasoma shule ya maskini inayoitwa haward university mkubwa.Nina umri wa miaka 45.wewe una umri wa miaka mingapi mkuu?.Inawezekana wewe ukawa ni babu yangu basi.Siwezi kukukosea adabu.Bado nipo shule namalizia masters yangu ya environmental study.Na wewe ulimaliza shule wapi na mwaka gani?
 
Wabunge wanawake hawana cha kulipa kwa kuwa hiyo ni affirmative action ya kuwafanya wanawake watambulike. Labda tujiulize mbunge mwanamume wa kuteuliwa kama James Mbatia analipaje.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Ndugu yangu!
Kweli ni affirmative action...
LAKINI,
Kumbuka fasili ya neno POLITICS according to Laswell "Who gets what, when AND HOW?"
Swali langu lipo kwenye RED.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom