Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Acheni kumlilia Mbatia, yeye anatimiza wajibu wake kwa aliyemteua, mnayajua masharti waliyopeana kabla ya uteuzi?
Acha uzuz wewe! Shirikisha ubongo wako kabla hujachangia. CDM Bungeni wana idadi ya kujitosheleza kuunda kambi ya upinzani kama wangekuwa pungufu ingewalazimu kushilikiana na chama kingine. Issue ni tofauti na Uvinza NCCR hawana uwezo wakuongoza Halmashauri peke yao idadi haiwaruhusu kama wangekuwa na Idadi ya kutosha wangesimama wenyewe na hakuna ambaye angewalaumu. Ila cha kushangaza ni kwanini waside na CCM na si CDM au nao ni Chama tawala? Unajua ni bora MBUZI kuwachanganya na KONDOO na si kuwacchanganya na MBWA Watu lazima wakushangae!mbona chadema hawajaishirikisha nccr bungeni? kumbe mkuki kwa nguluwe kwa binadamu mchungu.
Mchele mchele wa Rais.....kazi kweli kweli
Sasa CCM imevuka mipaka..!
Inataka kuwa na mahawara wangapi??wao kila siku wanawaza nyumba ndogo tuh??
Mbatia ndoa za mitara utaziweza??wenzako huku Mtwara zishawashinda wanabaki kulalama tuh,shauri lako mbatia baadae usije ukamtafuta wa kumlilia lilia hapa...
amelipa fadhila kwa raiskweli ushindi ni hila
Mbatia ni muolewa kama wewe, lazima amtetee mme wake.Sasa unalalamika nini?
Acha ubaguzi wako wa jinsia. Mwanamke ndiyo kakuzaa wewe acha kutmia makalio kufikiriMbatia analipa fadhila kwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa kwani suala la kuteuliwa kuwa Mbunge si dogo kwake.Hapo ndipo ninapokubaliana na Kafulila kwamba Mwanaume aliyeshindwa na Mwanamke katika nafasi ya Ubunge hawezi kukiongoza chama ipasavyo!
kumbe mbatia ni viti
maalum!! mpe ongera.
Msiingilie mambo ya ndani mkitaka na nyinyi fungeni ndoa mambo yenu yataenda vizuri
Sasa unalalamika nini?
Inasikitisha kweli kulikuwa na ushindi wa wazi kwa nafasi zote mbili iwapo vyama hivi viwili vya upinzani vingeafikiana, hali ndo hiyo na najua mwisho wa siku na hiyo nafasi ya mwenyekiti itaenda ccm
Lalamiko liko wapi hapo?
Chadema nimeamini kweli usemi usemao " CDM has no permanent friend has a permanent interest" Yaani wao kwenye interest zao wanasahau chuki na kutaka kuungana kwa nia ya kushinda madaraka lakini wao wakiwa hawahitaji msaada toka kwa mwingine hawana urafiki na neno upinzani wa kweli huwa ndio maudhui Yao!! Lol najua hata ck Moja mtakuja kuungana na CUF kwa nia ya kushinda madaraka. NCCR wametekeleza usemi usemao "akufaae kwa dhiki ndio rafiki. Nyie mmeamua kuwatenga wenzenu nawao wamewatenga kwa hili hivyo ngoma draw... Ukiwa kauzu basi kuwa kauzu hadi mwishoKitendo cha Mkiti wa NCCR James Mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya NCCR na CHADEMA kuongoza halmashauri ya Uvinza yamesababisha CCM kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya Makamu Mkiti wa Halmashauri hiyo.
Kwa upande wa nafasi ya Mkiti uchaguzi umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena baada ya vyama vyote vitatu kushindwa kupata theluthi mbili ya kura.
Katika nafasi ya Mkiti vyama vyote vitatu viliweka wagombea ambapo CCM ilipata kura 8 CHADEMA kura 7 na NCCR kura 6.
Nafasi ya Makamu Mkiti mgombea wa CCM hakuwa na mpinzani na alipita bila kupingwa.
Katika makubaliano ya awali ngazi ya wilaya na mkoa vyama vya NCCR na Chadema vilikubaliana kuachiana nafasi ambapo ilukubaliwa CHADEMA igombee nafasi ya Mkiti na NCCR Makamu Mkiti.
Katika hali ya kushangaza siku ya kurudisha fomu vyama vyote viwili vilirudisha fomu nafasi ya Mkiti na NCCR ikakataa kugombea nafasi ya Makamu Mkiti hivyo mgombea wa CCM akapita bila kupingwa.
Inadaiwa Mkiti wa NCCR James Mbatia ndiye aliingilia kati kuvunja makubaliano ya vyama hivyo na hatimaye ushindi ukawa upande wa CCM