Lakini hii nayo ni substandard ya CDM, inabidi viongozi wa ngazi ya juu watueleze. Tushakubaliana kuwa vyama vyote vingine ni CCM-B ndio maana hata Bungeni hatujaungana na vyama hivi. Sasa hili la makubaliano ya kuongoza Halmashauri ya Uvinza inatokea wapi? Nampongeza Mh. Mbatia kwa kutukumbusha anawakilisha wing ipi.
Kitakachotokea ni kuwa makamu mweyekiti ataendelea kuula na kuwa ndiye mwenyekiti.
Kwanini CDM hawaku compromise na kuwaachia NCCR?angalau NCCR tunawaona wabunge wake wanaguswa na matatizo ya wananchi na wangewasaidia kuliko kuwaachia CCM waendeleze propaganda zao kuwa sie wananchi tunawakubali!Kwa utaratibu huu ni kweli mnatukatisha tamaa sana wananchi kwani watawala wanazidi kuwa na kiburi kwa kuwa na uhakika wa kututawala milele wao na vizazi vyao!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
CHADEMA bana, hivi leo hii mnahitaji huruma za mbatia? nyie si ndio mlisema kuwa mna uwezo wa kusimama peke yenu na kwamba hamhitaji mbeleko ya vyama vingine. poleni sana
Mbatia analipa fadhila kwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa kwani suala la kuteuliwa kuwa Mbunge si dogo kwake.Hapo ndipo ninapokubaliana na Kafulila kwamba Mwanaume aliyeshindwa na Mwanamke katika nafasi ya Ubunge hawezi kukiongoza chama ipasavyo!
cdm siku zote tujipange wenyewe , tusitegemee hivi vyama vya ruzuku , dawa pekee ni kushinda kila kitu kwenye uchaguzi .
Molemo, chadema ni waroho wa madaraka, wabinafsi, na mnataka kuwaona wenzenu ni wajinga kumbe nyie machadema ndio majinga ya mwisho kabisa, kambi ya rasmi ya chadema bungeni ndio funzo kuu kwenu manyang'au nyieKitendo cha Mkiti wa NCCR James Mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya NCCR na CHADEMA kuongoza halmashauri ya Uvinza yamesababisha CCM kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya Makamu Mkiti wa Halmashauri hiyo.
Kwa upande wa nafasi ya Mkiti uchaguzi umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena baada ya vyama vyote vitatu kushindwa kupata theluthi mbili ya kura.
Katika nafasi ya Mkiti vyama vyote vitatu viliweka wagombea ambapo CCM ilipata kura 8 CHADEMA kura 7 na NCCR kura 6.
Nafasi ya Makamu Mkiti mgombea wa CCM hakuwa na mpinzani na alipita bila kupingwa.
Katika makubaliano ya awali ngazi ya wilaya na mkoa vyama vya NCCR na Chadema vilikubaliana kuachiana nafasi ambapo ilukubaliwa CHADEMA igombee nafasi ya Mkiti na NCCR Makamu Mkiti.
Katika hali ya kushangaza siku ya kurudisha fomu vyama vyote viwili vilirudisha fomu nafasi ya Mkiti na NCCR ikakataa kugombea nafasi ya Makamu Mkiti hivyo mgombea wa CCM akapita bila kupingwa.
Inadaiwa Mkiti wa NCCR James Mbatia ndiye aliingilia kati kuvunja makubaliano ya vyama hivyo na hatimaye ushindi ukawa upande wa CCM
Kitendo cha Mkiti wa NCCR James Mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya NCCR na CHADEMA kuongoza halmashauri ya Uvinza yamesababisha CCM kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya Makamu Mkiti wa Halmashauri hiyo.

Chadema wamejipambanua kama chama cha upinzani, hiyo ilikuwa nafasi ya NCCR pia nao kujipambanua kuwa ni wapinzani lkn kwa hili tunapata kujua chama cha upinzani Tanzania ni kipi.
Kwa kifupi; NCCR wanepoteza fursa mujarab kwenye siasa Tanzania, kama CDM walikuwa wapo tayari kushirikiana na NCCR, NCCR nao walikuwa wapige hatua mbele kupokea mkono wa shirika kutoka CDM. Sasa ktk hali hii unaona wapi kuwa CDM walifanya makosa kwa kutowashirikisha NCCR kwenye kamba rasmi y upinzani Bungeni? Tafakari!
Hizi ndo akili za ki-bavicha(a),yaani kumbe nyie wapinzani hamkuweka mgombea na mwenzenu wa ccm amepita bila kupingwa mnawalaumu NCCR kwa lipi?
Iwe kituko mara ngapi??? Kaeni na uroho wenu huko wauwaji nyiehapo ndio utajua kuwa CHADEMA walikuwa sawa kuwa na wasiwasi na upinzani wa hawa vigeugeu wangeifanya kambi ya upinzani bungeni ionekane kituko...
Chadema wamejipambanua kama chama cha upinzani, hiyo ilikuwa nafasi ya NCCR pia nao kujipambanua kuwa ni wapinzani lkn kwa hili tunapata kujua chama cha upinzani Tanzania ni kipi.
Kwa kifupi; NCCR wanepoteza fursa mujarab kwenye siasa Tanzania, kama CDM walikuwa wapo tayari kushirikiana na NCCR, NCCR nao walikuwa wapige hatua mbele kupokea mkono wa shirika kutoka CDM. Sasa ktk hali hii unaona wapi kuwa CDM walifanya makosa kwa kutowashirikisha NCCR kwenye kamba rasmi y upinzani Bungeni? Tafakari!
mlitegemea ailipe fadhila chadema kwa kumtukana??? nyie kweli HAMNAZO. ubabe nyie, kudeka nyie, kulalamika nyie, ku.......... nako nyie!!!Mbatia analipa fadhila kwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa kwani suala la kuteuliwa kuwa Mbunge si dogo kwake.Hapo ndipo ninapokubaliana na Kafulila kwamba Mwanaume aliyeshindwa na Mwanamke katika nafasi ya Ubunge hawezi kukiongoza chama ipasavyo!
Mbatia analipa fadhila kwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa kwani suala la kuteuliwa kuwa Mbunge si dogo kwake.Hapo ndipo ninapokubaliana na Kafulila kwamba Mwanaume aliyeshindwa na Mwanamke katika nafasi ya Ubunge hawezi kukiongoza chama ipasavyo!
Mbatia analipa fadhila kwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa kwani suala la kuteuliwa kuwa Mbunge si dogo kwake.Hapo ndipo ninapokubaliana na Kafulila kwamba Mwanaume aliyeshindwa na Mwanamke katika nafasi ya Ubunge hawezi kukiongoza chama ipasavyo!
Mods vipi Lugha hizi za kutukana na kukashifu siku hizi ni rasmi hapa jukwaani au niaje??Molemo, chadema ni waroho wa madaraka, wabinafsi, na mnataka kuwaona wenzenu ni wajinga kumbe nyie machadema ndio majinga ya mwisho kabisa, kambi ya rasmi ya chadema bungeni ndio funzo kuu kwenu manyang'au nyie