Wahenga wazamani waliwahi kusema;chadema hawataki kushirikiana na vyama vya vingine bungeni kwa nini ushirikiano uwepo kwenye halmashauri tu nampongeza mbatia kila mtu afe kivyake na abebe mzigo wake.
Mods vipi Lugha hizi za kutukana na kukashifu siku hizi ni rasmi hapa jukwaani au niaje??
Mbona km hutumii kichwa sawa sawa?? Kwa hiyo machadema ndio kipimo cha upinzani?? Acha ujinga ww. Nccr ni nccr na machadema ni machadema, mara ngapi mnawatukana wapinzani wenzenu?? Jana ulimsikiliza mgonjwa wenu tundu lisu star tv kuwa hakuna chama cha upinzani ila machadema pekee?? Kwa hiyo mnawathamini wenzenu mnapotaka kuwatumia kimaslahi km ww unavyotumika hapa jf kimaslahi?????????????????????????????????? Look uChadema wamejipambanua kama chama cha upinzani, hiyo ilikuwa nafasi ya NCCR pia nao kujipambanua kuwa ni wapinzani lkn kwa hili tunapata kujua chama cha upinzani Tanzania ni kipi.
Kwa kifupi; NCCR wanepoteza fursa mujarab kwenye siasa Tanzania, kama CDM walikuwa wapo tayari kushirikiana na NCCR, NCCR nao walikuwa wapige hatua mbele kupokea mkono wa shirika kutoka CDM. Sasa ktk hali hii unaona wapi kuwa CDM walifanya makosa kwa kutowashirikisha NCCR kwenye kamba rasmi y upinzani Bungeni? Tafakari!
Mbatia ni kibaraka wa ccm nani asiye jua hilo?! Ni sawa na alivyokuwa Mrema!!
wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa, hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika na wewe si msemaji wa chama, pamoja na yote NCCR-mageuzi ni chama makini muulizeni kioongozi wenu wa kitaifa aliyetaka kuwahonga madiwani wa NCCR-mageuzi baada ya kuchomolewa akajiwahi kuongea mitaandaoni.Hatufanyi siasa za kinafiki mbona ya Arusha hatusemi madiwani wenu. kweli nyani haoni kundule.CHADEMA acheni kueneza uzushi.Kitendo cha Mkiti wa NCCR James Mbatia kukataa makubaliano yaliyokuwa yamefikiwa kati ya NCCR na CHADEMA kuongoza halmashauri ya Uvinza yamesababisha CCM kutumia mwanya huo na kutwaa nafasi ya Makamu Mkiti wa Halmashauri hiyo.
Kwa upande wa nafasi ya Mkiti uchaguzi umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena baada ya vyama vyote vitatu kushindwa kupata theluthi mbili ya kura.
Katika nafasi ya Mkiti vyama vyote vitatu viliweka wagombea ambapo CCM ilipata kura 8 CHADEMA kura 7 na NCCR kura 6.
Nafasi ya Makamu Mkiti mgombea wa CCM hakuwa na mpinzani na alipita bila kupingwa.
Katika makubaliano ya awali ngazi ya wilaya na mkoa vyama vya NCCR na Chadema vilikubaliana kuachiana nafasi ambapo ilukubaliwa CHADEMA igombee nafasi ya Mkiti na NCCR Makamu Mkiti.
Katika hali ya kushangaza siku ya kurudisha fomu vyama vyote viwili vilirudisha fomu nafasi ya Mkiti na NCCR ikakataa kugombea nafasi ya Makamu Mkiti hivyo mgombea wa CCM akapita bila kupingwa.
Inadaiwa Mkiti wa NCCR James Mbatia ndiye aliingilia kati kuvunja makubaliano ya vyama hivyo na hatimaye ushindi ukawa upande wa CCM
Mbatia anaiua NCCR Kigoma ambapo ndio paliifanya NCCR iendelee kuwepo sasa kwa mikono yake mwenyewe, Mwenyekiti ameamua kukimaliza chama chake kwa mikono yake mwenyewe.
Kwa hali hiyo tusishangae NCCR ikazikwa rasmi Kigoma mwaka 2015.
Huu ni upuuzi mkubwa sana wa vyama hivi viwili vya upinzani, Kila chama kina kosa lake hapa, mosi chadema wao wana kura nyingi zaidi (7) wakati NCCR walikuwa na kura chache ( 6) kwa kuzingati hilo basi chadema wangeongoza halmashauri na NCCR wakubali umakamu,hili ni kosa la NCCR lakini chadema nao baada ya kuona NCCR wameng'ang'ania basi wangetumia busara tuu kuukubali umakamu na kuwaachia NCCR uenyekiti kuliko kupoteza vyote kwa CCM,sasa sijui nini kifanyike maana tayari umakamu umeshaenda kwa ccm,,Viongozi wa juu hebu kutaneni muamue cha kufanya!
Molemo, chadema ni waroho wa madaraka, wabinafsi, na mnataka kuwaona wenzenu ni wajinga kumbe nyie machadema ndio majinga ya mwisho kabisa, kambi ya rasmi ya chadema bungeni ndio funzo kuu kwenu manyang'au nyie
na wananchi wasipowapa kura za kutosha?
Mkuu huyo ana ID 20 kwa hiyo hata akifungiwa hajali anaendelea na nyingine
Ujinga wenu ndio kifo chenu. Tulia dawa ipite vizuri. Acheni uroho.Matusi ya nini mama yangu?
Tangu ufukuzwe Chadema umefungua ID 20 za kutukana.
Vipi matusi yako yaliwasaidia uchaguzi Arusha?
Naona ulikuwa kimya au bado azma yako ya kugombe Uraisi ipo pale pale? utapitia kwa ticketi ya chama chenu cha Kiliberali?wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa, hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika na wewe si msemaji wa chama, pamoja na yote NCCR-mageuzi ni chama makini muulizeni kioongozi wenu wa kitaifa aliyetaka kuwahonga madiwani wa NCCR-mageuzi baada ya kuchomolewa akajiwahi kuongea mitaandaoni.Hatufanyi siasa za kinafiki mbona ya Arusha hatusemi madiwani wenu. kweli nyani haoni kundule.CHADEMA acheni kueneza uzushi.
Mbatia anaiua NCCR Kigoma ambapo ndio paliifanya NCCR iendelee kuwepo sasa kwa mikono yake mwenyewe, Mwenyekiti ameamua kukimaliza chama chake kwa mikono yake mwenyewe.
Kwa hali hiyo tusishangae NCCR ikazikwa rasmi Kigoma mwaka 2015.
Mpe za uso mjinga huyu anatumika huku anajua, hawana adabu wanajiona wao ndio wajuaji wengine wote hawana maana. Molemo ni mnafiki sana halafu hupenda kukimbilia jf kujitetea ujinga wake kwa id tofauti tofautiwewe ni muongo tena mnafiki mkubwa, hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika na wewe si msemaji wa chama, pamoja na yote NCCR-mageuzi ni chama makini muulizeni kioongozi wenu wa kitaifa aliyetaka kuwahonga madiwani wa NCCR-mageuzi baada ya kuchomolewa akajiwahi kuongea mitaandaoni.Hatufanyi siasa za kinafiki mbona ya Arusha hatusemi madiwani wenu. kweli nyani haoni kundule.CHADEMA acheni kueneza uzushi.