Huyu mbasha ndo chanzo cha yote kama hamjui.flora kamkomesha na ndio maana akili zimemsogea saiv anaomba suluhu,asingekuwa na kosa asingepata courage ya kumbeg hvyo.Wanaume wamezoea kufanyia wake zao ushenzi wakijipa moyo there is nothing we can do.wamesahau "when a woman fades up"!tna wanawake Wa skuhiz msiwachezee kabsaa bra Wa zamani.if you can't love her usimkaribie eboo..huwez kushindana na mwanamuke jeshi kubwa.big up flora.mumuwachee
Imetosha sasa wajirudi wajifungie chumbani wapige magoti wanene na Mungu, shetani alijiinua kati yao badala ya kumshusha na kumsigina wakampa lifti wakamwinua zaidi
Wamevuana nguo hadharani wanataka kwenda kujificha pamoja ndoa itakuwa ya kulaumianaa migogoro haitakwisha wameharibu toka mwanzo waliposhindwa kuinusuru ndoa yao hadi kuianika wazi na kuwapa watu faida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.