Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,095
gwaja ameshakinahi nini?mzigo!
Mbasha kama ana akili arudiane nae kimaslahi zaidi..lakn yule syo mke mamaae keshatombekaaaaaaaa weeeee kaona sasa airdishe nyumbani khaaaa
gwaja ameshakinahi nini?mzigo!
Mbasha kama ana akili arudiane nae kimaslahi zaidi..lakn yule syo mke mamaae keshatombekaaaaaaaa weeeee kaona sasa airdishe nyumbani khaaaa
Duuh inaelekea unamfahamu vizuri Flora.....btw funzo hapo kwa wasanii wetu ni kwamba wanatakiwa waishi maisha ambayo ni ya kwao na hata kama kuna mgogoro suruhisho sio kukimbilia kwenye vyombo vya habari na hata kama chombo cha habari kimekuhoji sio lazima kutoa ya moyoni simply becoz unadhani unasafisha jina kumbe ndio unazidi kulichafua na hasa ukizingatia wanaimba muziki wa upande wa pili wa shilingiFlora hafai kua mke tena labda suluhu ya kugawa kidogo walichonacho lakini sio ndoa tena.
Jamaa akirudiana naye atakua ------ sana.
Duuh inaelekea unamfahamu vizuri Flora.....btw funzo hapo kwa wasanii wetu ni kwamba wanatakiwa waishi maisha ambayo ni ya kwao na hata kama kuna mgogoro suruhisho sio kukimbilia kwenye vyombo vya habari na hata kama chombo cha habari kimekuhoji sio lazima kutoa ya moyoni simply becoz unadhani unasafisha jina kumbe ndio unazidi kulichafua na hasa ukizingatia wanaimba muziki wa upande wa pili wa shilingi
Mwisho wa siku wanapigana na nafsi zao hivi watatuonaje tukirudiana, ukizinguana sio na mke tu hata na ndugu unatakiwe uchague ya kuongea na nani wa kumwambiaWahajianika kuliko nyanya za sokoni, hapo hata heshima itakuwepo kweli?
Duuh inaelekea unamfahamu vizuri Flora.....btw funzo hapo kwa wasanii wetu ni kwamba wanatakiwa waishi maisha ambayo ni ya kwao na hata kama kuna mgogoro suruhisho sio kukimbilia kwenye vyombo vya habari na hata kama chombo cha habari kimekuhoji sio lazima kutoa ya moyoni simply becoz unadhani unasafisha jina kumbe ndio unazidi kulichafua na hasa ukizingatia wanaimba muziki wa upande wa pili wa shilingi
Hii sasa ni EPISODE ya ngapi!!!!!!!!!!!!!!!
YA KWANZA: "MUME WA FLORA AMBAKA SHEM"
YA PILI: "MUME WA FLORA AJISALIMISHA POLISI"
YA TATU: " MUME WA FLORA ATUPWA RUMANDE"
YA NNE: "MUME WA FLORA ATOLEWA NJE KWADHAMANA"
YA TANO: MUME NA MKEWE WAPO TAYARI KUONDOA TOFAUTI ZAO NA KURUDIANA"
Haya mimi nasubiri Episode ya SITA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
hakuna ndoa hapo wala hakuna cha kujadiri zaidi.
kwanini uumie mkuu
Mwisho wa siku wanapigana na nafsi zao hivi watatuonaje tukirudiana, ukizinguana sio na mke tu hata na ndugu unatakiwe uchague ya kuongea na nani wa kumwambia