Mbaroni kwa kuua wazee wawili Morogoro

Mbaroni kwa kuua wazee wawili Morogoro

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linawashikilia Rajabu Ramadhani (26), Athumani Ramadhani (21) na Daniel William (49) kwa tuhuma za mauaji ya Bernadetha Kibwana (60( na Zabibu Maulidi(59)

Tukio la mauaji limetokea majira ya saa kumi na moja alfajiri Oktoba 15, Mafisa kwa Mambi kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro.

Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema Rajabu ambaye ni mshtakiwa wa kwanza aliamka usiku na kumfuata ndugu yake Athumani ili amsindikize kwa watu ambao wamemtibua.

Rajabu alivunja mlango wa Benardetha na kumpiga na shoka kichwani, Zabibu aliposikia alipiga kelele na kuanza kumbia ambaye alimkimbiza na kumpiga na mchi kichwani.
 
Daah! Hao wazee wamemfanya nini huyo zombi?
 
aise bhana kuna mambo mengine ukisikia mpaka unahuzunika yaani
 
Duh Moro nao wameanza kutia aibu wanakuwa kama watu wa MERU
 
Kuna watu makatili duniani hapa, sheteni anasubiri sana dah!
 
Back
Top Bottom