Tanga: Wanaume 2 Mbaroni kwa kuua wake zao

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,116
49,840
Mmja kaua Mke na shemeji Kwa panga na mwingine kaua Mke Kwa kutumia kamba ya katani.

My Take
Binti zangu Msikubali kuolewa na Wanaume Maskini na Wale wanaojifanya Wana wivu na kuwapenda sana.

----
JESHİ la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kumkamata Swalehe Miraji Ally, mwenye umri wa miaka 38 aliyekuwa kakimbilia mkoani Tabora baada ya kufanya mauaji ya mkewe na shemeji yake kwa kuwakata na mapanga mara mbili kichwani wakati wakiwa shambani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema kuwa mtuhumiwa huyo ambaye ni fundi ujenzi mkazi wa Mkanyageni wilayani Muheza, alimuua mkewe Mwanahawa Hassan (24) na Sauda Sufian (20) kisha kukimbilia Tabora, ambapo jitihada za Polisi zilifanikiwa kumkamata.

Katika tukio linguine polisi imemkamata mkazi wa Handeni, Rajab Athuman mwenye umri wa miaka 32 akituhumiwa kumuua kwa kumkata kichwa kwa kutumia kamba ya katani Helena Sila.

Chanzo: Habari Leo
 
Wivu! Hili atalionaje maana wivu huonekana baada ya kuishi pamoja na hii ni kwa pande zote mbili.
Wewe huwezi mgundua mtu mwenye wivu mkali? Mbona Mimi Huwa nawagundua na nawapotezea au una mtrain yaani since day one ajue kwamba uko hivyo Ili hata baadae yakimkuta haitakuwa Mpya kwake.

Sichukuagi mwanamke mwenye extreme wivu,never ever.

Hata wanasaikolojia wanakwambia ogopa sana mtu anaejisemesha mda wote anakupenda anakujali sana nk huyo ni hatari ,mfundishe mwanao mapema utakuja kunishukuru inaitwa watu wasio na immortional stability
 
Hii ni kweli mkuu, tuwaogope wale pendapenda. Mtu anakupenda mpaka unaogopa na ukizingatia wewe huna upendo nae kwa namna yeye anavyojiweka.

Hao akikufuma unamcheat anakuua kabisa.
 
Ukiona mwanaume wa kujiliza Liza kama mwanamke au ambae Yuko serious hana tabia za kimalaya ooh Mimi napenda sana Mke wangu na blaa blaa Kama hizo hao ni hatari.

Wanaua na kujiua ,mwanamke kimbia au mwanaume kimbia utakuja kumwagiwa maji ya moto
 
.

My Take
Binti zangu Msikubali kuolewa na Wanaume Maskini na Wale wanaojifanya Wana wivu na kuwapenda sana.
Unakosea,umaskini wa mtu haumfanyi kuwa na roho mbaya kama point ni kujiweza kimaisha search humu zipo habari za watu waliokuwa wanajiweza kimaisha kuwauwa wenzi wao.

Refer yule jamaa wa Kigamboni na gunia zake tatu za mkaa na yule wa Bunju kumvunja mkewe shingo usiku waliopanga waondoke kwao na gari yao mpya waliyokuwa wamenunua,kiumbe chochote (hata wewe) kikiudhiwa first react yake ndiyo itakayoamua hatma ya yajayo.

Mimi na wewe tupo huru hapa sababu hatujakutana bado na wanayokutana nayo hao watendaji au uwezo wetu wa kuyahimili ni mkubwa kuliko waliokuwa nao wao so tusiringe.
 
Mmja kaua Mke na shemeji Kwa panga na mwingine kaua Mke Kwa kutumia kamba ya katani.

My Take
Binti zangu Msikubali kuolewa na Wanaume Maskini na Wale wanaojifanya Wana wivu na kuwapenda sana.

----
JESHİ la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kumkamata Swalehe Miraji Ally, mwenye umri wa miaka 38 aliyekuwa kakimbilia mkoani Tabora baada ya kufanya mauaji ya mkewe na shemeji yake kwa kuwakata na mapanga mara mbili kichwani wakati wakiwa shambani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema kuwa mtuhumiwa huyo ambaye ni fundi ujenzi mkazi wa Mkanyageni wilayani Muheza, alimuua mkewe Mwanahawa Hassan (24) na Sauda Sufian (20) kisha kukimbilia Tabora, ambapo jitihada za Polisi zilifanikiwa kumkamata.

Katika tukio linguine polisi imemkamata mkazi wa Handeni, Rajab Athuman mwenye umri wa miaka 32 akituhumiwa kumuua kwa kumkata kichwa kwa kutumia kamba ya katani Helena Sila.

Chanzo: Habari Leo
 
Mmja kaua Mke na shemeji Kwa panga na mwingine kaua Mke Kwa kutumia kamba ya katani.

My Take
Binti zangu Msikubali kuolewa na Wanaume Maskini na Wale wanaojifanya Wana wivu na kuwapenda sana.

----
JESHİ la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kumkamata Swalehe Miraji Ally, mwenye umri wa miaka 38 aliyekuwa kakimbilia mkoani Tabora baada ya kufanya mauaji ya mkewe na shemeji yake kwa kuwakata na mapanga mara mbili kichwani wakati wakiwa shambani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema kuwa mtuhumiwa huyo ambaye ni fundi ujenzi mkazi wa Mkanyageni wilayani Muheza, alimuua mkewe Mwanahawa Hassan (24) na Sauda Sufian (20) kisha kukimbilia Tabora, ambapo jitihada za Polisi zilifanikiwa kumkamata.

Katika tukio linguine polisi imemkamata mkazi wa Handeni, Rajab Athuman mwenye umri wa miaka 32 akituhumiwa kumuua kwa kumkata kichwa kwa kutumia kamba ya katani Helena Sila.

Chanzo: Habari Leo
Screenshot_20231030_194310_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20231030_194224_Samsung Internet.jpg
 
Unakosea,umaskini wa mtu haumfanyi kuwa na roho mbaya kama point ni kujiweza kimaisha search humu zipo habari za watu waliokuwa wanajiweza kimaisha kuwauwa wenzi wao.

Refer yule jamaa wa Kigamboni na gunia zake tatu za mkaa na yule wa Bunju kumvunja mkewe shingo usiku waliopanga waondoke kwao na gari yao mpya waliyokuwa wamenunua,kiumbe chochote (hata wewe) kikiudhiwa first react yake ndiyo itakayoamua hatma ya yajayo.

Mimi na wewe tupo huru hapa sababu hatujakutana bado na wanayokutana nayo hao watendaji au uwezo wetu wa kuyahimili ni mkubwa kuliko waliokuwa nao wao so tusiringe.
Ume sahau na yule jamaa wa mwanza alie muua mke wake nae kujiua.
 
Back
Top Bottom