Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 912
- 4,247
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.
Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.
Tutaelewa