Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Sanaaa 😂
Sanaaa 😂
Hebu angalia jamaniMcute kweli...daaa![]()

Kwani kuwa simpo nikutoka na mume wa mtu ndugu mheshimiwa?Hahahah Huwa nawaambia, just kua simple tu !!
Et "Mimi sitoki na Mume wa mtu"🤣🤣.
Huyu hapa nimekata ujumbe nimeupunguza kidogo.🤣🤣🤣 Naona mmekutana waume wa mwanamke Mmoja
Mke wenu anawapenda.
Hawajui kuwa hakunaga singo duniani.Hahahah Huwa nawaambia, just kua simple tu !!
Et "Mimi sitoki na Mume wa mtu"🤣🤣.
Hilo ndilo la msingiEwaaaa kikubwa unapewa .
Our handsome boy MbappeHuyu hapa nimekata ujumbe nimeupunguza kidogo.View attachment 2452497

Mkiiangalia hiyo pua mnavuta hisia au?😂🤣Juzi kweny FWC ndio nilishindwa jizuia kuwa nakumkubali huyu masta.
Aiseee
Wakati anafunga goli la kwanza kipindi cha pili aise nilipata furaha na mtetemeko wa ajabu.
Itoshe kusema Mbappe ndie aliyenifanya niangalie mpira😂😂
😘😘😘
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka walaiii hahaha .Huyu hapa nimekata ujumbe nimeupunguza kidogo.View attachment 2452497
Na ukipewa, usichunguze, wee safisha runguHilo ndilo la msingi
Hamnaga Singoooo Babu !!🤣🤣Hawajui kuwa hakunaga singo duniani.
Mwanamke akikwambia yuko singo uongo tu analiwa na mtu asiyempenda kadhalika mwanaume singo yupo kaburini ukweli mchungu
Lakini sometimes laifu la bongo raha sana hasa ukiwajulia hawa wadudu 😂Hamnaga Singoooo Babu !!🤣🤣
Nakuletea dem mfupi akili ikukae sawaWe phalla umeniwahi.
Kwa kifupi ukiwa na mpenzi mwenye utani mwingi, yuko huru kwako unataka nini zaidi?
Hata mwanaume ukiwa na viutani vingi vyenya mipaka ni rahisi kuwateka hawa wadudu 🤣🤣🤣
Mimi sipendi msichana aliyepooza kama mlenda.
Napenda changamoto, utani nk.
Hapa jf kuna wadada wajanja wa janja sana na ukiangalia wana followers wengi sana.
Sababu kubwa ni mvuto kupitia utani
Hahahah Usiwe serious nao sana, Maisha ni hayahaya tu🤣🤣Lakini sometimes laifu la bongo raha sana hasa ukiwajulia hawa wadudu 😂
🤣🤣🤣🤣Nakuletea dem mfupi akili ikukae sawa
Pole sana jamaanJinsi Mbappe alivyopambana,tulivyopoteza kwenye zile penalt nililia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mfupi si nambeba mgongoni nilivyo na utani?🤣🤣🤣🤣Nakuletea dem mfupi akili ikukae sawa