Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Juzi kweny FWC ndio nilishindwa jizuia kuwa nakumkubali huyu masta.
Aiseee
Wakati anafunga goli la kwanza kipindi cha pili aise nilipata furaha na mtetemeko wa ajabu.

Itoshe kusema Mbappe ndie aliyenifanya niangalie mpira😂😂

😘😘😘
Wanawake mlivyo mamaeee, hapo unaanza linganisha hizo goli anazofunga, ndo zingekua bao anazotupia kitandan upo naye


Hahahahaha weeeeeeeeeee🤣🤣
 
Ila Wanawake mnajuaga kutufanya tujione sisi wanaume hatuna maana ya kuishi ingawa tuna Hela 🤣🤣.
Usiumize kichwa chako mkuu, kwenye suala la mapenzi hakuna anayeridhika na kitu utakosa pesa utachapiwa na ukiwa nazo utachapiwa vile vile. Ukiwa sexy as Mbappe na pesa unayo unaweza chapiwa kwa kutokuwa romantic...
Same as men na nyie hamridhiki kwa chochote...
We furahia tu maisha jinsi ya yanavyokuja.
 
Nyieee nyieee Hawa huku ..

Nilishawambia Kila siku na Kila Mara ... Woman has absolutely no control over who to fall in love with !!.


Mwanamke anakua na Mwanaume yule tu atakayefanikiwa Kuziamsha Hisia zake !!

Ukiijua Siri hiii, unaweza kula za kimasihara mpaka shetani mwenyewe akakuambia "Doohh bwana Mdogo, nikuvishe crown yako tu maana hata Malaika waloasi namie, umewazidi kete ".



Muulize Demu , kwann ulikua na fulan kimahisiano? Simpoooo, atakujibu tuu, """Ilitokea"".

Hiii inamaana gan? Wanawake wanaongozwa na Hisia, and when they are sexually attracted Nawewe, Utawapanga BUS la Abood !!!.


Huwa hawaamui Logically kua na mtu, rather than emotionally.
Dah! me ndo maana sitaki nao mazoea kabisa hawa sio viumbe wa kawaida.
 
Back
Top Bottom