Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Yaani we hopeless kabisa unataka kujifananisha na mbape? (Jokes)
 
Huyu kuna nae makini bby maana anapenda tope balaaa ebu kaa nae mbali kabisa.
Wee endelea kunivutia mie picha wakati unapata utamu wa de libolo
🤣🤣🤣 akinitunuku tope hatojuta huo utamu atakaoupata. Oya kama vipi tumpige mande😅
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Mkuu unajichelewesha, pale Simba Queens kuna watoto wazuri wanacheza mpira tafuta picha ya Fetty Densa au hata ya Usher Koumugisha chambuzi la kimataifa au hata ya Khadija Shaw yule fungaji la timu ya wanawake ya Man city

Post weka Caption tata ili mzungumze lugha moja, usilalamike ukilalamika hakuelewei ila mkienda sambamba ataelewa inavyouma
 
Wewe wapo wenye good morphology bana sio iyo. Wao waseme wanataka Nini. Mana huyu akija dar ama bongo atakuwa Kama Ile Chris brown mademu walikuwa wanatoa $1000 ili wakutane naye tu. Sasa huyu naye akija bongo mademu na mchepuko yetu itaumwa ama itapata matatizo hapo wapate hata hela ya kumuona mbape ujue
😀😀
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
🤣🤣🤣🤣 Ogopa sana ukiona mwanamke anabeti
 
Kwa hapa nilipofikia kinachovutia ni ela tu na sio kingine
Huyo mbappe nawaachia walimwengu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom