Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

1671481010146.jpeg
macron mwenyewe kaenda kwa dogo wewe Demi , Clarra Ni Nani usimkubali mbape Msweet, Authority
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Cha Kufanya na wewe anza kuwasifia kina Mobeto ili muende sawa.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom