Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,463
- 52,986
Ndiyo mumfuate sasaKana mvuto bhanaView attachment 2452481
Ndiyo mumfuate sasaKana mvuto bhanaView attachment 2452481
SawA kama utafanya bure njooNamie nipigie debe ili nije hapo home kufanya kazi izo hiyo. Hapo hapo home kwenu jamani
Hakuna sababu nyingine ,hizo ulizozitaja ni controllable,piga chini kitambiSasa wengine jaman wafupi,vitambiiiiiiiii uwii
Hakuna sababu nyingine ,hizo ulizozitaja ni controllable,piga chini kitambi
Mtamuweza,hivi unadhani nae atawachukua watu mmeshazoea mapenzi ya mateso maugomvi na bae wenu wa kibongo,hataki stress mbabe ana records za kuvunja kumfikia messi[emoji23]Tumeamua sie wote tunaenda kwa Mbappe
Mtamuweza,hivi unadhani nae atawachukua watu mmeshazoea mapenzi ya mateso maugomvi na bae wenu wa kibongo,hataki stress mbabe ana records za kuvunja kumfikia messi[emoji23]
[emoji1787] [emoji1787]Atatupenda tu tumeanza diet
Huyu homeboy Mwaisa mtu mbad kutoka Green City.Ila hili jina Mbape mbona kama ni la kisukuma hivi kama sio kihehe
Huyu dogo muhuni tu
Umr unaruhusuHuyu dogo muhuni tu
Umeshakula dawa ya usingizi [emoji23][emoji23]This duo[emoji39]View attachment 2453148