Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Sema Demi wee unaonekana unakitu fulan kizuri sana


Unajua sisi wanaume tunapenda mwanamke awe hivi

1-Kwenye public yaan akiwa mtaan mbele za watu awe naheshima... Watu watupongeze kwakua na Mwanamke huyo.


2-Mkiwa naye Ndani ,utakatifu,Heshima zake pemben hukoo yaan chumban mwanamke awe na pigo za umalayamalaya hiviii ,ASIWE na aibu, aongee, akiimiss mashineeo aseme , wakati mwingine aanze yeye, kitandan akupeee, akupakulieeeee haswaaaaa .



Sio demuuu anakua na pigo za kidini mpaka kitandani 😏😏
Ewaaa
 
Huna haja ya kuchukia ukwel ni kwamba hawez kumpata😂😂ataishia kumwona kwa TV
 
Haina haja ya kupita njia zake sema nshamdharau na kama walivosema wadau dawa ni kuweka vikwazo vya kiuchumi tu

Mbappe ni tajiri atamtunza
Yawezekana yeye anafanya hivyo kujifurahisha huenda hajui kuwa wewe inakuumiza, ukifanya atafeel Kama unavyofeel wewe. Kama anakupenda lakini.
 
Back
Top Bottom