Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Aliyenacho ataongezewa tu hahaha

Nahizo za kuvutia chupi pemben ,daaahh zinanogaga
Sema Demi wee unaonekana unakitu fulan kizuri sana

Unajua sisi wanaume tunapenda mwanamke awe hivi

1-Kwenye public yaan akiwa mtaan mbele za watu awe naheshima... Watu watupongeze kwakua na Mwanamke huyo.

2-Mkiwa naye Ndani ,utakatifu,Heshima zake pemben hukoo yaan chumban mwanamke awe na pigo za umalayamalaya hiviii ,ASIWE na aibu, aongee, akiimiss mashineeo aseme , wakati mwingine aanze yeye, kitandan akupeee, akupakulieeeee haswaaaaa .

Sio demuuu anakua na pigo za kidini mpaka kitandani 😏😏
 
Juzi kweny FWC ndio nilishindwa jizuia kuwa nakumkubali huyu masta.
Aiseee
Wakati anafunga goli la kwanza kipindi cha pili aise nilipata furaha na mtetemeko wa ajabu.

Itoshe kusema Mbappe ndie aliyenifanya niangalie mpira😂😂

😘😘😘
Mbappe unamtesa binti wa watu huku Tz. 😄😄
 
Sema Demi wee unaonekana unakitu fulan kizuri sana

Unajua sisi wanaume tunapenda mwanamke awe hivi

1-Kwenye public yaan akiwa mtaan mbele za watu awe naheshima... Watu watupongeze kwakua na Mwanamke huyo.

2-Mkiwa naye Ndani ,utakatifu,Heshima zake pemben hukoo yaan chumban mwanamke awe na pigo za umalayamalaya hiviii ,ASIWE na aibu, aongee, akiimiss mashineeo aseme , wakati mwingine aanze yeye, kitandan akupeee, akupakulieeeee haswaaaaa .

Sio demuuu anakua na pigo za kidini mpaka kitandani 😏😏
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Hapo kumrusha roho mbona simpo tu! Anza kumsifia BEYONCE kwa sura na umbo lake bomba. Halafu weka picha yake kwenye simu yako kama Wallpaper utaona mnuno wake. Wana wivu wa kijinga hao!!!
 
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Nakufataa hukohuko ,nitakapokukamatia hapohapo, chupi pemben ,sitojali Kuna watu au lah🤣🤣
 
Back
Top Bottom