Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Hizi ni nyege zako tu za leo...kesho hutanikumbuka
Why asikukumbuke jamani. Lazima kwani amekuwa jogoo kuwa kishamaliza haja zake jike hapetiwi Wala kupewa chakula ama kupewa koti kubwa
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
mi naona ni ushamba tu wa dada zetu hata mm kuna rafiki yangu ana demu wake anamuelewa mbappe sana mpka mshikaji anaona wivu. ishu ni moja kama umemuelew sio kosa ila kosa ni kuonesha mapenz ya dhat kwa mbape kiliko mpenz wako uliye naye sa hv so ikitokea mbappe kakutana na ww maana yake itakuw rahis kumkana mpenz wako. mkubali mtu ila usijichoreshe ili kulind heshim
 
Kinvuto wa ile mwanaume mweusi si mbaya anavutia ila siku ile hakucheza katika ubora sana.

Nyie nilimpendaga Ronaldinho gaucho hadi leo ukiniuliza nilipenda nini kwake sina jibu yale magoli mmmh.

Mtoto mwingine alikuwa akinirusha roho ni ozil, njeruman falaaa yule ana jicho kha.

Katoto kengine ingawa ni mdogo ila mvuto upo ni yule Timothy weah
😂😂wewe timiza majukumu yako vizuri..hiyo hopeless waachie wengine.
View attachment 2452427
😘😘
My mbape wako naona katika ubora wako, umekuja na ushahidi
 
Ndiyo
Nampa ofa ya kufungua na mwaka
Daaahh lkn fimbo ya mbali ... Hizo ofa mtupeni sisi ambao tunaonana !!

Mbape atakutunza lini?? Lini atakutoa out??

Nyie tuombeen sisi sura mbovu wenu, mtupende hivhivi tuu🤣🤣

Kikubwa mtuombeee tuwe na Pesa, tuwe maarufu kama mbape
 
Anashindwaje sasa kutunza na hela zote alizokuwa Nazo?
 
mi naona ni ushamba tu wa dada zetu hata mm kuna rafiki yangu ana demu wake anamuelewa mbappe sana mpka mshikaji anaona wivu. ishu ni moja kama umemuelew sio kosa ila kosa ni kuonesha mapenz ya dhat kwa mbape kiliko mpenz wako uliye naye sa hv so ikitokea mbappe kakutana na ww maana yake itakuw rahis kumkana mpenz wako. mkubali mtu ila usijichoreshe ili kulind heshim
Hapana, sio ushambaa Mkuu..

Tena hata msiwachukulie serious sana , mtaumiza mioyo yenu buree.

Kama mbususu unapewa, wee ndo unaye, anakutegemea wewe.

Kuna haja ya kuangaika ?? Kuku wako .

Ukiona inakuuma sana, mpige Economic Sanctions Kwa muda 🤣🤣
 
Wanaume weusi ni wazuri wana mvuto sema tu mmeshatuvuruga wacha tupambane na wazungu.
Mbape si mbaya demu wako kumtanani na kumsifia wewe chukulia poa.

Ila kasahau na hawa
Kingsley junior coman huyu winger yes mvuto upo
Mwingine, ni paulo exequiel dybala huyu forward nae si haba
Na yule dogo thimothy weah

Vimo vingi vizuri na vile ni virefu havina vitambi jiandae kwa pressure zisizo za lazima.
 
Kinvuto wa ile mwanaume mweusi si mbaya anavutia ila siku ile hakucheza katika ubora sana.

Nyie nilimpendaga Ronaldinho gaucho hadi leo ukiniuliza nilipenda nini kwake sina jibu yale magoli mmmh.

Mtoto mwingine alikuwa akinirusha roho ni ozil, njeruman falaaa yule ana jicho kha.

Katoto kengine ingawa ni mdogo ila mvuto upo ni yule Timothy weah

My mbape wako naona katika ubora wako, umekuja na ushahidi
Nyiieeee njooooni huku
 
Wanaume weusi ni wazuri wana mvuto sema tu mmeshatuvuruga wacha tupambane na wazungu.
Mbape si mbaya demu wako kumtanani na kumsifia wewe chukulia poa.

Ila kasahau na hawa
Kingsley junior coman huyu winger yes mvuto upo
Mwingine, ni paulo exequiel dybala huyu forward nae si haba
Na yule dogo thimothy weah

Vimo vingi vizuri na vile ni virefu havina vitambi jiandae kwa pressure zisizo za lazima.
Nasisi je, watuelezeawatuelezeaje?

Mimi najua moyon utasema "Wabongo mbwaaaa kabisa mijusi kafiri"
 
Wanaume weusi ni wazuri wana mvuto sema tu mmeshatuvuruga wacha tupambane na wazungu.
Mbape si mbaya demu wako kumtanani na kumsifia wewe chukulia poa.

Ila kasahau na hawa
Kingsley junior coman huyu winger yes mvuto upo
Mwingine, ni paulo exequiel dybala huyu forward nae si haba
Na yule dogo thimothy weah

Vimo vingi vizuri na vile ni virefu havina vitambi jiandae kwa pressure zisizo za lazima.
Oyaaa wanaume weusi tumekumbukwa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom