Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

Tupeni nafasiiiiii ,tupoooo..hao Akina mbape, wameshazoea ma GMO food, na mavyakula ya viwanda.


Njooooo Kwa lisukuma limoja ujionee🤣🤣🤣


Unasimamiwa kucha kuanzia saa tatu kasoro za Usiku mpaka saa Tano na dakika 15 🤣🤣🤣

Watoka hapo, wajipepeaa
Wewee ni next levelšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚direct from Kanda ya ziwaaa... I bow to youuušŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Nawewe anza kumsifia yule manzi ambaye anamjua, yaani hata ww ukimtaka unaweza mpata. Yeye anamsifia Mbappe ambaye hawezi kuwa naye.
 
Sasa juzi magroup huko wasap naona mwanadada anaulizia picha ya mbape akatumiwa akasema ooh jmn mbape wangu kajitahidi Sana,, nikasema huyu nae fata mkumbo kasikia hata kumjua hamjui
Madem utawaweza, Brazil walivyotolewa, Status za Madem wengi wasap ilikua

"Ohoooo Pole My Neymar"

"Jamaan Brazil why??"

Na ma blaaaa blaaaah kibao !!.


Juzi ya Akina mbapeee ,basi jamaa

"mbapeeee wanguuuu "

Na mbalaaa blaaaah.


Wasiwasi wangu nikama Demu wako nayeye ameingis kwenye mkumbo wa PICHA ZA MBAPE ,alopigwa akionekana mbooo imesimama.


Hivi Wanawake unawajua?? Unaweza Hisi anamsifia Kila Mara Kwa sababu kafunga magoli, la hashaa, ni Kwa sababu ya hiyo picha mitandao .


Cha kufanya ??


Muulize Baby, Mbape anachezea Klabu gan???? Akikujibu, "Ufaransa"...


Mpige economic sanctions yaaan NO MATUMIZI.....huyo Mbape aanze kumtunza !!


🤣🤣
 
Wewee ni next levelšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚direct from Kanda ya ziwaaa... I bow to youuušŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Haswaaaaa sie Tena, watu tumekulia viazi maziwa, nyama, Samaki, maboga, mgagani, majani ya kunde, karangaaa, mihogo ya kutafunaa , maembeee 🤣🤣🤣🤣

Karibu ujioneee mbappe wa kisukuma Yuko aje 🤣🤣
 
Simple tu na wewe amza kumsifia star yoyote wa kike mbele yake
 
Haswaaaaa sie Tena, watu tumekulia viazi maziwa, nyama, Samaki, maboga, mgagani, majani ya kunde, karangaaa, mihogo ya kutafunaa , maembeee 🤣🤣🤣🤣

Karibu ujioneee mbappe wa kisukuma Yuko aje 🤣🤣
Weweee tenaaaaaa....Munguu niepusheeeešŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom