Mbappe kanitekea demu wangu

Mbappe kanitekea demu wangu

😅😅😅😅...basi hapooo wenzio tunaimaginee tupoo close na Mbappe vile amekushika kiuonooo from ze back sideeee..halafuuu mdomo anakunon'goneza kwa sikio Awwwweeeeeeh...I'm sorry mr Carlos😅😅
Hata sisi twaweza yote katika yeye atutiaye nguvu🤣🤣

Tupeni nafasi tuuu uone from ze back inavyokuaga .

Maana hapo hogo linagusa kalio, ndimi shingon, alafu mkono Mmoja unatua Moja Kwa Moja Kwa Ki-nena🤣🤣🤣
 
Na yule mtangazaji wa dstv
Sema yule alikuwa na tabasamu tamu sana
😄😄😄 yaan ile day croatia anacheza na argentina cha kushangaza waliprefer croatia as their winning choice


Na hatukusay kitu 😄😄😄😄
 
Hata sisi twaweza yote katika yeye atutiaye nguvu🤣🤣

Tupeni nafasi tuuu uone from ze back inavyokuaga .

Maana hapo hogo linagusa kalio, ndimi shingon, alafu mkono Mmoja unatua Moja Kwa Moja Kwa Ki-nena🤣🤣🤣
😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Tumfate UEFA- PSG

Me nitawasaliti Real Madrid na Chesii

Kamq siku watakuwa mechi 1

Mbappe mcute
Sema ndo vileeeee ni Kibenten 🤣🤣
Imeisha hiyo.

Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio.

Zingatia pesa anayoingiza kwa mwezi bado hajafanya matangazo..

Kwakweli hiyo benten futa mara moja
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Huyo ni msomi mzuri au mtumiaji mzuri wa mafumbo au fasihi
na mimi nikusaidie kutegua kitendawili
Mbappe ni mfungaji mzuri wa mabao kwenye uwanja wa mpira,ikampelekea kupewa kiatu cha dhahabu,
Sasa jipime na wewe kama mchezaji,unajua kufunga mabao au ni mandonga?
ukimaliza hapo utapata jibu la kwanini ameamua kuongea kiutu uzima.
Au tunaita kutumia lugha ya picha
 
Sasa baby, embu fikiria Mimi sijawah postiwa, Leo hii Mbape anapostiwa anaambiwa Maneno matamuuu yakula aina .

Alafu usiku, Tumizi nitoe Mimi?? Sikukuu hizi ,Tumizi nitoe Mimi?.


Kwakweli amwambie Mbape tu
huu wivu hauna maana kabisa ye si anampost tu kwani anampa kabisa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu

Huyu binti katokea kumpenda sana Mbappe wa France kutwa kucha anampost na kumsifia na anamuita my heart choice.

Baada ya kugundua hilo kama mwanaume nimeamua nimute sina haja ya kuongea chochote maana ni kama sisi wengine ni hopeless kabisa.
Kuna mdada hajawahi kumpost mume wake kwa status hata siku Moja,ila juzi kawekwa mbape siku mbili mfululizo.
Yani hapa ndo ujue kabisa hauna chako
Hana chake 🤣🤣🤣🤣
 
Tumfate UEFA- PSG

Me nitawasaliti Real Madrid na Chesii

Kamq siku watakuwa mechi 1

Mbappe mcute
Sema ndo vileeeee ni Kibenten 🤣🤣
Mie nasubiri transfer ya #January nione Ronaldo ataenda wapi

Ila nahamia PSG 😄😄😄 nataka nione antenna ya Mbappe maana ikogo on muda wote 😄😄😄😄
 
😂😂😂😂🙌🙌🙌
Tupeni nafasiiiiii ,tupoooo..hao Akina mbape, wameshazoea ma GMO food, na mavyakula ya viwanda.


Njooooo Kwa lisukuma limoja ujionee🤣🤣🤣


Unasimamiwa kucha kuanzia saa tatu kasoro za Usiku mpaka saa Tano na dakika 15 🤣🤣🤣

Watoka hapo, wajipepeaa
 
Back
Top Bottom