Mbappe kanitekea demu wangu

Tumfate UEFA- PSG

Me nitawasaliti Real Madrid na Chesii

Kamq siku watakuwa mechi 1

Mbappe mcute
Sema ndo vileeeee ni Kibenten 🤣🤣
 
Tokea asubuhi ndio nacheka muda huu. Duu kweli wewe Ni mhuni kitambo una mbinu za kimedani Ni asli yako nimekunyooshea mikono the jackal hii Ni ya mbususu nadhani. Eti mwambie Leo nakuletea yaani anaileta ili tu amkomeshe huyo demu wako. Yaani angekuja kujua nadhani angekukubali kinyama ujue.
 
Kilichotuvutiaaa zaidi ni ule uactiveee wa ishu yakeeee...kijana yupooooo vereeeee😅😅😅😅..mtusamehee tu jamani tumeshindwaa kujizuiaaa
Hahahaha huo active , kitandan usikute ni mwingine.

Ulishawah Tiana na mchizi, alafu ukajuta why umetiana ??.


Njooo Kwa wasukuma, tunakula manumbu na maziwa 🤣🤣🤣

Weeeeeee
 
Mfano mbape ndo huyo hapo amekuja bongo, umekutana naye uso kwa uso, sehemu mazingira yanaruhusu, utafanyaje Ili kumtongoza Ajue unamtaka kimapenzi Demi Chakorii
Huleti papara nae kabisa.kwanza unaanza kuielezea mara ya kwanza kupanda ndege katika umri wa 11yrs kwenda kuichezea Sijui chelsea ya watoto ile,Bayern Munich na nyinginezo..

Namvuta,,namvuta tena stori zetu hapo sahiyo ni mpira tu😂😂nikishaanza nae lazima tutakuwa na majibuzano tu..nitakuwa nimepata pakuanzia

Yatakayoendelea huko sitokuhadithia.

Kwa mfano
 
🤣🤣🤣 Eehh akajua anamkomoaa , kumbeee ni mbinu tu za kivita .
 
Unamla kimasihara sio?🤣
 
Ila PSG basi tu, huku Neymar, huku Messi kule Mbappe. Alooooh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…