Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 34
REDET imekuwa ikikusanya kura za maoni (opinion polls) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa. Kwa muda mrefu sasa, REDET hawajafanya utafiti. Tunaomba sasa REDET iamke na kukusanya maoni ya wananchi hususan kuhusu masuala ya uchaguzi wa 2015.
Kama ilivyokuwa katika tafiti zilizopita, tunaomba maswali yafuatayo yapewe kipaumbele:
1. Mwaka 2015 utafanyika uchaguzi mkuu, endapo uchaguzi huo ungefanyika leo, je wewe ungemchagua mgombea urais wa chama gani?
2. Taja jina la mtu mmoja ambaye ungependa awe rais wa Tanzania.
3. Taja sifa moja kubwa ambayo itakufanya umpigie kura mgombea fulani wa Urais.
4. Je, wewe ungependa kumchagua mbunge wako aliyopo hivi sasa au la?
5. Taja tatizo moja kubwa ambalo ungependa serikali itakayoingia madarakani ilipe kipaumbele.
6. Toa tathmini yako kuhusu utendaji kazi wa chama tawala, CCM, na vyama vya upinzani kwa ujumla wake