Mbagala inahitajika underground train sio Mkulupuko za mwendokasi

Mbagala inahitajika underground train sio Mkulupuko za mwendokasi

Kuna mambo mengine hayahitaji utafiti. Basi la mwendokazi linalopita hizo njia, halitakuwa na kasi kama lingepita chini kwa chini kama treni. Kweli underground train inaweza kuwa na gharama zaidi, lakini ni kheri kusubiri uwezo UPATIKANE kuliko kukurupuka. Nani alijua kama raisi Magufuri angeweza kununua ndege kwa kasi hii. Wengine wangesema nchi haina pesa.
Umewahi panda mwendo kasi na baada ya kuingia ktk basi ukachukua saa moja kuelekea uendako? Naona kumbe haujafanya utafiti ila umeandika kwa kutumia kuona malalamiko tu ya wanaopanda mwendokasi.
 
Tusijizarau. Mbagala imekaa vizuri hakuna mafuriko kule. Hata mifereji inakubari watu wakatumia njia ya maji kufika mjini. Kuanzia kijichi, pale chini ya daraja la TAZARA relini, muonekano wake ni rahisi kujenga usafiri wa boti endapo patachimbwa kuwezesha kupita boti. Ukisema haiwezekani haitawezekana. Try to think...........
Duh
boti zitatumika wakati wa mvua tu au watapeleka maji pale?
 
Mkuu kinachokwamisha mwendokasi sasa sio miundombinu bali ni watendaji kazi.
Hata underground kama viongozi wabovu sio suluhisho.
Umeongea kitu. Sasa Mbagala haitakiwi hii kitu. ila fikilia nje ya box mwendokasi ni janga! Mashimo kwa kilwa road kwa sasa Mbagala bila kuwa na njia mbadala ya Tandika Buzza ni kujikoroga. Mtakuja kukubariana na mimi baadae kama sasa hamtaki
 
I just gave my two cents...

Tuna mengi ya kufanya, underground train is not one of them I think. At least trains za kawaida kuunganisha miji midogo...
 
Hayo mashimo yanaingiaje kwenye trunk za mwendokasi?
 
Mcharo son umefanya tafiti kuhusu underground train gharama ya ujenzi?mawazo matupu bila kufanya tafiti ni sawa na kupiga kelele...

Gharama Za ujenzi wa mwendokasi na matokeo yake inasaidia zaidi kwa sasa,kinachotokea kule kimara ni uhaba wa buses ambao ni tatizo dogo sana sijui wahusika wanakwama wapi,

Nimetumia sana mwendokasi route ya kimara hadi town ni kweli usiopingika inaokoa wakati sana tena kuliko unavyofikiri!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Khasante sana mkuu kwa kudadavua hili....mleta Mada naona kama anachanganya mambo unapoleta mambo ya maendeleo ukaanza ishu za Mara c wanafanya ili kuombea kura ndo mnapochanganyaga Mambo,na Uzi ukakosa mwelekeo kabsaa.
 
Duh
boti zitatumika wakati wa mvua tu au watapeleka maji pale?
Kaonje maji yale yana chumvi. Bahari ya hindi inasogea mpaka pale japo wengi hawatambui hilo. Kuanzia lilipotita daraja la kivukoni, ambaa nalo mpaka pale Tazara relini chini maji chumvi. Mbagala bonge la Mini city japo enzi za njia moja Diamond alikandia na wimbo wake na wasanii wanaokaa south Dar wakamchekea tu badala ya kujibu.
 
Ok
 
Hayo mashimo yanaingiaje kwenye trunk za mwendokasi?
Soma vizuri mada yangu. Naitetea Kilwa road. Njia kuu inayoingiza korosho jijini, hakuna ingine. Gari lazima lipunguze mwendo kwenye shimo. Sasa kuna shimo la kwenda chini na la kwenda juu. Matuta ni mashimo ya kwenda juu ambako gari lazima lipunguze mwendo kuvuka shimo husika. Kilwa road itachimbwa mashimo haya kila kituo kupunguza mwendo wa magari kama sio kuwasimamisha ili abiria wavuke kuingia basi la mwendokila.
 
Ndio maana nikauliza mwendo kasi umewahi panda na kuona barabara zake zilivyo pia?
kama hautomind, fani yako yaani profession yako ni nini?
 
Khasante sana mkuu kwa kudadavua hili....mleta Mada naona kama anachanganya mambo unapoleta mambo ya maendeleo ukaanza ishu za Mara c wanafanya ili kuombea kura ndo mnapochanganyaga Mambo,na Uzi ukakosa mwelekeo kabsaa.
Hapo wewe ndio unakosa muelekeo kwa kutokunielewa. Au umenielewa ila hutaki wenzio wafike ulipofika unaelekeza bendera huko utakako
 
Barabara za mwendokasi pia zitumiwe na treni nyepesi za mjini kama ktk nchi zingine.
 
Ndio maana nikauliza mwendo kasi umewahi panda na kuona barabara zake zilivyo pia?
kama hautomind, fani yako yaani profession yako ni nini?
Tusiguse profession tutahamisha mada. Ninachosema Kilwa road itachimbwa mashimo tuta ni shimo la kwenda juu. Kwa shimo la kwenda chini gali zitadidimia zikivuka, shimo la juu gari zitarushwa juu. sasa utalazimika kupunguza mwendo. Wanaopita Morogoro road kwenye njia hizi wakitumia magari watanielewa vizuri.
 
dah mtoa UZI umetazama kwa MAPANA sanaaa underground miundombinu yake nafikiri kwa tazama hapa hasa DSM ni shidaaa kwanza mji wenyewe huu master plan yake haikuwepo hasa eneo la mbagala kwenda mkranga watu wamejijengea tu fasta fasta baadhi ya maeneo kuna k=miundo mbinu mengine kama ya maji ime cross ...WAZO ni zuri ila nafikiri huenda itakuwa ni gharama kubwaaaa mboooooooo ila Ungesema kwa treni tu ya juuu kama ile ya Ethiopia ah HAPO MZEE NI MUKIDEEEE
 
I just gave my two cents...

Tuna mengi ya kufanya, underground train is not one of them I think. At least trains za kawaida kuunganisha miji midogo...
Sawa basi tusichimbe mashimo kwenye hizi road zilizojengwa zikatulia kama kilwa road. Sitisha mwendokasi Mbagala pesa yake jenga njia mbadala ya kupitia Tandika Buzza mpaka mbagala. Italeta tija kuliko mkurupuko huu
 
Tusiguse profession tutahamisha mada. Ninachosema Kilwa road itachimbwa mashimo tuta ni shimo la kwenda juu. Kwa shimo la kwenda chini gali zitadidimia zikivuka, shimo la juu gari zitarushwa juu. sasa utalazimika kupunguza mwendo. Wanaopita Morogoro road kwenye njia hizi wakitumia magari watanielewa vizuri.
Tuta hilo ni kwenye barabara ya kawaida au mwendokasi?
Kama ni barabara ya kawaida ni kawaida kuwa na matuta. Hata the busiest and the most important road in Tanzania, Morogoro rd ina matuta maeneo fulani. Licha ya kwenda sambamba na barabara ya morogoro mwendokasi haina matuta.
 
Back
Top Bottom