Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,894
- 23,132
Wanasema eti kutafuta nguvu ya kulipa visasi vya vinyongo vya kuhonga😹😹😹 Huna nguvu mpaka unatumia hivyo vitu?
Wanasema eti kutafuta nguvu ya kulipa visasi vya vinyongo vya kuhonga😹😹😹 Huna nguvu mpaka unatumia hivyo vitu?
Sasa mbona wanajikomoa wenyewe..!!Wanasema eti kutafuta nguvu ya kulipa visasi vya vinyongo vya kuhonga
Huwa unataka kugundua nini?Mambo yakujaribu jaribu vitu hayo ,nimeshatumia makorokoro mengi sana .
Unatumia nini?MIe si mtumiaji wa hayo madubwasha ya hovyo
Bora wapitishe njia ya TopeSasa mbona wanajikomoa wenyewe..!!
Huwezi kushindana na walipotoka, kama sehemu ilipitishwa bichwa lake ndo ataweza kushindana napo?
Wanashindana na walipotoka😃😃😄😁!Sasa mbona wanajikomoa wenyewe..!!
Huwezi kushindana na walipotoka, kama sehemu ilipitishwa bichwa lake ndo ataweza kushindana napo?
Nitumie nini kwa ajili ya nini? Kwa mimi sioni haja ya kutumia kitu, naona bado sana kufikia level ya kujiboost, nguvu zinatoshelzaUnatumia nini?
Haya ndio mambo mnayoyaweza vijana wa ccm 😄 😄Mkongo hapa ametupwa mbali na hii kitu watu wanajiboost na kufurahia show yaani ni show show tu
Muulize watu wa kanda ya ziwa watakueleza hii namna ni hatari fire kama fire mkesha wa kujitakia vurugu isiyoumiza
View attachment 3688716
Viksi sio kitu kizuri aisee, haufurahii kabisa.Mambo yakujaribu jaribu vitu hayo ,nimeshatumia makorokoro mengi sana .
Na huyo ndiyo great thinker wao chamani 😄 😄Kwa huu upuuzi lazima CCM itawale miaka mingine 65 ijayo
Bora nguvu zako za asili au kidogoo fantasia huyo au kombucha picha la masai .Ila viksi mziki mwingine siku 3 sawa na masaa 72 wazungu hawaonekani wamepotea😀😀😀Viksi sio kitu kizuri aisee, haufurahii kabisa.
Korokoro lipi angalau ni bora mkuu
Eee ndiwoo 😹Wanashindana na walipotoka😃😃😄😁!
Nipe 5Nitumie nini kwa ajili ya nini? Kwa mimi sioni haja ya kutumia kitu, naona bado sana kufikia level ya kujiboost, nguvu zinatoshelza
Aiseee usiwe unanikwoti upuuzi..!!Bora wapitishe njia ya Tope
Tatizo la akili ndiyo.Eee ndiwoo 😹
Mapenzi ni burudani, sasa kama yanafanywa ya kukomoana hilo ni tatizo la akili..!!
Feelings zinawazidia wanazama kwenye tendo hadi inawapelekea kunena kwa lugha..!!Tatizo la akili ndiyo.
Kama ni afya, nini huwa kinawaliza baadhi ya wanaume kwenye tendo?
😂😂😂Naona chap kwa haraka
Zinazidi za mama yako?Shida sio nguvu shida siku hizi mna sugu sana mnaitaji mperampera
Mpuuzi anapenda kuniletea mazoea ya kijinga..!!Hapana dada sio poa huyu mama ni mama kama wewe deal na uyo kijana moja kwamoja wacha mama ake hata hajui JF
👊Nipe 5