Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,067
- 5,937
Lipia tangazoMkongo hapa ametupwa mbali na hii kitu watu wanajiboost na kufurahia show yaani ni show show tu
Muulize watu wa kanda ya ziwa watakueleza hii namna ni hatari fire kama fire mkesha wa kujitakia vurugu isiyoumiza
View attachment 3688716