Mbadala wa Samsung Note Edge ni upi?

Mbadala wa Samsung Note Edge ni upi?

I don't look so much at brands as features and reviews.At a certain level of course.

Kwangu mimi LG na Samsung wako level moja ya ushindani, so ni interchangeable.

Nilipenda LG walivyokuwa na features zangu ninazotaka za microsd card slot na removable battery (LG G5 ilikuja na concept ya simu unayochomeka vitu vingine zaidi kama camera na speakers etc, nikataka ku experiment).

Haijawahi kuniletea tatizo katika miezi kama 18 niliyokuwa nayo.

Ingawa sasa nafikiri nakaribia muda wa kubadilisha au angalau ku reset to factory settings nianze upya kwa sababu ya simu kuanza kujaa makorokoro.

Ubarikiwe sana kiongozi. Ufafanuzi wako mujarab umenifanya last night(EAT) niingie YouTube kuikagua. Kiukweli ni simu nzuri sana lakini naona iko nje kdg ya muda.. I doubt kama ni latest tech Evltn.. Niondoe mashaka maana naweza nikadondokea hapa boss..
 
Kiongozi kama sijawa clear kwamba simu niliyonayo ni mkangafu kwa viwango vya watu wanaobadili simu kila miezi 12 niwie radhi.

Ndiyo maana nikataja mpaka kwamba nimekuwa nayo kwa miezi 18.

Kuna nyingine imetoka baada ya hii. LG V20.

Cha kufanya ni kutafuta websites wanazofanya upambanishi wa features kwa data utaona unapata nini na unakosa nini, ingawa nazo haziko beyond reproach.

Mfano mmoja ni hii website hapa inapambanisha LG V20. (Iliyotoka baada ya simu yangu ya LG G5 naamini) na Samsung Note 7

LG V20 vs Samsung Galaxy Note 7 - Phone specs comparison

Uzuri wa hii website ni kwamba hata ukipata simu nyingine tofauti, mradi jwe katika syatem yao tu, watazipambanjsha na wewe utaweza kuangalia mapungufu na mazidifu ya simu yoyote kati ya unazopambanisha.
 
Asante. Na edge zote ile bar ya pembeni hutumika kama notification bar right?
ni notification ndio, pia ni urembo, inasaidia kuona vizuri kwa kona zone (viewing angle), na samsung kuna features wamezieka kama
-edge panel ambayo hueka vitu unavyotumia mara kwa mara kama contacts na apps
-edge feed ambayo unapangusa kwenda mbele na nyuma ili kupata notification
-edge lighting ambao ni mwanga wa kukujulisha kuna kitu kipya kimeingia.
-
 
Kiongozi kama sijawa clear kwamba simu niliyonayo ni mkangafu kwa viwango vya watu wanaobadili simu kila miezi 12 niwie radhi.

Ndiyo maana nikataja mpaka kwamba nimekuwa nayo kwa miezi 18.

Kuna nyingine imetoka baada ya hii. LG V20.

Cha kufanya ni kutafuta websites wanazofanya upambanishi wa features kwa data utaona unapata nini na unakosa nini, ingawa nazo haziko beyond reproach.

Mfano mmoja ni hii website hapa inapambanisha LG V20. (Iliyotoka baada ya simu yangu ya LG G5 naamini) na Samsung Note 7

LG V20 vs Samsung Galaxy Note 7 - Phone specs comparison

Huu ni uungwana wa kiwango cha lami boss. Asante sana. Nitaipitia hiyo link hivi punde.
 
Beth, nimetumia Note zote kasoro Note 6 ambayo haikutoka na 7 ambayo ilileta shida...
Achana S8 ni nzuri ila kama wewe ni mtu wa Note, s8 plus ni nzuri sana ila achana nayo...

Subiri mwezi wa kumi....unatoka mzigo mwingine hatari sana..Samsung Note 8...ikiwa na kalamu na iris scanner...hii itakua habari nyingine...andaa million 2 zako ufurahi...
mkuu hakuna note6, baada ya kutoa note5 walienda kwa note7 iliyolipuka wakaamua kuiondoa sokoni
 
ni notification ndio, pia ni urembo, inasaidia kuona vizuri kwa kona zone (viewing angle), na samsung kuna features wamezieka kama
-edge panel ambayo hueka vitu unavyotumia mara kwa mara kama contacts na apps
-edge feed ambayo unapangusa kwenda mbele na nyuma ili kupata notification
-edge lighting ambao ni mwanga wa kukujulisha kuna kitu kipya kimeingia.
-

Kwa kweli kama ni hivyo basi naweza kufunga ndoa na edges maana zimekuwa msaada sana kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu. Kwa mcharanga huu huu, unapendekeza nikiamua kutumia nitumie edge ipi? What's your best recommendation sir?
 
naushauri nunua s6 edge maana hata bei yake haitofautiani sana na note edge
 
Kwa kweli kama ni hivyo basi naweza kufunga ndoa na edges maana zimekuwa msaada sana kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu. Kwa mcharanga huu huu, unapendekeza nikiamua kutumia nitumie edge ipi? What's your best recommendation sir?
latest siku zote ni bora s8 ni nzuri kuliko s7 na s7 edge ni nzuri kuliko s6 edge plus.

hivyo kama unataka simu best ni s8 ila gharama pia ni kubwa almost milioni mbili,

s7 kwangu ni nzuri zaidi kwani bado ni latest na pia gharama zake zimeshuka pengine chini ya milioni 1 ukaipata, na pia warranty bado imebaki mwaka mzima hadi 2018 ndio inaisha.
 
Firts of all hiyo Note Edge unayoisema ambayo mara nyingine hitwa Note 4 edge haipo out of stock bado inapatikana kwa wingi..

Lakini kama unataka ku upgrage nakushauri usubiri 'NOTE 7R'..ambayo itakuwa na muonekano uleule kama Note 7 iliyozuiliwa ila imekuwa reproduced na kuondolewa matatizo ya Mlipuko..

d5af2d31b753603c33a6f549fcadf054.jpg

Kama hutoweza kusubiri Go For s7 Edge..

Mimi na prefer s7 edge kuliko s8 plus kwasbabu kwenye s8 plus Samsung wamefanya upuuzi wa ku locate Fingerprint sensor pembeni ya camera ya nyuma kitu ambacho si rahisi kidole chako kuifiki pale unapotaka kutoa screenlock unless huoni shida kutumia old school way of unlocking i mean pattern,pin or password ingawaje wameweka lock ya kutumia macho lakin sio friendly usiku..

Conclusion:-
Kwa kigezo cha bei na simu Latest chukua S7 edge hutojuta..

Asikudanganye mtu ununue LG utajuta,nimetumia Lg G4 na G5 siji kuzirudia kamwe maishani mwangu..
 
First of all hiyo Note Edge unayoisema ambayo mara nyingine hitwa Note 4 edge haipo out of stock bado inapatikana kwa wingi..

Lakini kama unataka ku upgrage nakushauri usubiri 'NOTE 7R'..ambayo itakuwa na muonekano uleule kama Note 7 iliyozuiliwa ila imekuwa reproduced na kuondolewa matatizo ya Mlipuko..

d5af2d31b753603c33a6f549fcadf054.jpg

Kama hutoweza kusubiri Go For s7 Edge..

Mimi na prefer s7 edge kuliko s8 plus kwasbabu kwenye s8 plus Samsung wamefanya upuuzi wa ku locate Fingerprint sensor pembeni ya camera ya nyuma kitu ambacho si rahisi kidole chako kuifiki pale unapotaka kutoa screenlock unless huoni shida kutumia old school way of unlocking i mean pattern,pin or password ingawaje wameweka lock ya kutumia macho lakin sio friendly usiku..

Conclusion:-
Kwa kigezo cha bei na simu Latest chukua S7 edge hutojuta..

Asikudanganye mtu ununue LG utajuta,nimetumia Lg G4 na G5 siji kuzirudia kamwe maishani mwangu..

Boss, nimezunguka sana maduka ya town pale M/City, Kariakoo na kwingineko na jibu nimepewa linalofanana... Samsung Note Edge hazipo kabisa labda unielekeze ni duka lipi zipo nikanunue..

Kuhusu S7 Edge naona itanifaa, kwa makadirio price yake itakuwa ni ngapi kwa sasa eti?
 
inategemea na expectation zako kuna mtu amenunua hapa kama laki 8 hivi, hio note edge,

ni ghali sana na zipo simu bora zaidi kwa hio bei, ila kama unaitaka ipo madukani.
 
Boss, nimezunguka sana maduka ya town pale M/City, Kariakoo na kwingineko na jibu nimepewa linalofanana... Samsung Note Edge hazipo kabisa labda unielekeze ni duka lipi zipo nikanunue..

Kuhusu S7 Edge naona itanifaa, kwa makadirio price yake itakuwa ni ngapi kwa sasa eti?
Ingia Instagram Search @bongosmart

Ingawa bei yake ni bora ununue simu latest..kuliko hyo ya muda sana na bado bei upo juu
 
Kiongozi kama sijawa clear kwamba simu niliyonayo ni mkangafu kwa viwango vya watu wanaobadili simu kila miezi 12 niwie radhi.

Ndiyo maana nikataja mpaka kwamba nimekuwa nayo kwa miezi 18.

Kuna nyingine imetoka baada ya hii. LG V20.

Cha kufanya ni kutafuta websites wanazofanya upambanishi wa features kwa data utaona unapata nini na unakosa nini, ingawa nazo haziko beyond reproach.

Mfano mmoja ni hii website hapa inapambanisha LG V20. (Iliyotoka baada ya simu yangu ya LG G5 naamini) na Samsung Note 7

LG V20 vs Samsung Galaxy Note 7 - Phone specs comparison

Uzuri wa hii website ni kwamba hata ukipata simu nyingine tofauti, mradi jwe katika syatem yao tu, watazipambanjsha na wewe utaweza kuangalia mapungufu na mazidifu ya simu yoyote kati ya unazopambanisha.
Mkuu lg 10 unaionaje japo ni simu iliyopitwa na wakati sans?
 
Boss, nimezunguka sana maduka ya town pale M/City, Kariakoo na kwingineko na jibu nimepewa linalofanana... Samsung Note Edge hazipo kabisa labda unielekeze ni duka lipi zipo nikanunue..

Kuhusu S7 Edge naona itanifaa, kwa makadirio price yake itakuwa ni ngapi kwa sasa eti?
Unaitaka lini mkuu Mimi natumia Note Edge Kwa muda sasa. Mimi nilinunua HK. Kama ni muhitaji kweli kuna mtu yupo HK now naweza kukuagizia Japo sijui bei yake kwa sasa But najua bei kwa sasa haiwezi kuwa kubwa. Nilicho ipendea Note Edge haimo ktk mfumo wa Series.
 
Mambo zenu wakuu?

Nilikuwa natumia Samsung Note Edge imeniharibikia na nilipoenda kutafuta nyingine kwa lengo la kununua mpya nimeambiwa batch hii haikutoka tena hivyo ni out of stock.

Kiukweli niliizoea sana na sijui ipi ni mbadala wake.

Naombeni ushauri nihamie kwenye Samsung ipi? Binafsi ni mtumiaji sana wa simu kikazi na matumizi mengine ya kawaida hivyo nitashukuru nikipata ushauri mzuri ili nisije jutia.

Nipo hapa kupokea mapendekezo..
Unaitaka lini mkuu Mimi natumia Note Edge Kwa muda sasa. Mimi nilinunua HK. Kama ni muhitaji kweli kuna mtu yupo HK now naweza kukuagizia Japo sijui bei yake kwa sasa But najua bei kwa sasa haiwezi kuwa kubwa. Nilicho ipendea Note Edge haimo ktk mfumo wa Series.
 
Simu mbadala ni S6 edge au S6 edge + au S7 edge na pia kama una pesa unaweza cheki S8 hadi S9 itatategemea na mfuko wako.

Pia nadhani umeipenda Feature ya edge, yaani kioo kuwa na mikingamo. Kaa izo S series zenye Edge zina mikingamo pande zote mbili tofauti na Note Edge inayo mwaga maji upande mmoja.

Pia hizi simu fake zake zimekuja kuwa nyingi sana. Lazima uwe makini. Huwez amini unaweza kuta Galaxy. S 6 edge inauzwa 450k na simu ni boxed. Hapo kuwa makini

Kuna jinsi ya kutambua fake na original kwa uelewa wangu.
Simu OG inakuwa imeandikwa hapo chini jina lake. Mfano io imeandikwa Galaxy S7 edge. Ila zipo mtaani kibao ambazo hazijaandikwa kitu hapo na zinauzwa bei chee sana hadi utashangaa
IMG-20180331-WA0021.jpg
IMG-20180324-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom