beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,367
Mambo zenu wakuu?
Nilikuwa natumia Samsung Note Edge imeniharibikia na nilipoenda kutafuta nyingine kwa lengo la kununua mpya nimeambiwa batch hii haikutoka tena hivyo ni out of stock.
Kiukweli niliizoea sana na sijui ipi ni mbadala wake.
Naombeni ushauri nihamie kwenye Samsung ipi? Binafsi ni mtumiaji sana wa simu kikazi na matumizi mengine ya kawaida hivyo nitashukuru nikipata ushauri mzuri ili nisije jutia.
Nipo hapa kupokea mapendekezo..