Mbaba mtu mzima anatafutwa

Mbaba mtu mzima anatafutwa

Hahah! nimefurah nakutakia kila la kher katika safar yako! kwa jf umri huo hautapata sample kubwa coz wengi sio wa kusociliaze katika mitandao kama jamvin humu! Anyway let see ila pia usije ukawa kama unatafuta Mtaji kupitia mafao ya wazee hawa!
mtu wa miaka 50 sidhani kama anakuwa ameshastaafu. Kwa nini jamii haijielekezi kuwa na mawazo chanya jamani?
 
Sawa na kichwa cha habari hapo juu.

Mimi ni mmama mtu mzima (40-50) natafuta mbaba mtu mzima asiye na mke (aliyeachika au kufiwa) tujadili tuone kama tunaweza kuyasongesha.

Awe kuanzia miaka 50 na kuendelea na asiwe marioo. Najua wapo wengi tu hapa wenye sifa.

Nina shughuli za kawaida sana za kiuchumi, lakini nina afya njema pia.

vipi mkuu RRONDO - hapa utafit ama umepwaya!??
 
kila la kheri una haki ya kuwa na mwenza hatukuumbwa tuishi alone thats clear
 
Sawa na kichwa cha habari hapo juu.

Mimi ni mmama mtu mzima (40-50) natafuta mbaba mtu mzima asiye na mke (aliyeachika au kufiwa) tujadili tuone kama tunaweza kuyasongesha.

Awe kuanzia miaka 50 na kuendelea na asiwe marioo. Najua wapo wengi tu hapa wenye sifa.

Nina shughuli za kawaida sana za kiuchumi, lakini nina afya njema pia.
Mama pole. Huo mchezo utauweza kweli?
 
Back
Top Bottom