Lihove2017
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 423
- 560
Kwa bei hiyo ilitakiwa hizi mbaazi yawe matunda ya asili yanayojiotea yenyewe poriniBiashara ya kilimo unaweza kufilisika huku unajiona.Masasi mbaazi bei ni 300,hivyo ukiwa na tani 1unapata 300,000/.