Mbaazi Mtwara Nyingi sana, Je bei itakuwa sh Ngapi?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,463
5,831
Sisi wakulima wa mtwara tunatarajia kuvuna mbaazi ya kufa mtu. Je kunamtu anajua bei ya mbaazi itakuwa sh Ngapi? Je soko la india a mbaazi kwa sasa limekaaje? Asante sana.
 
Back
Top Bottom