MB au data zinatengenezwa wapi?

Internet haitengenezwi ni connectivity ya vifaa mbalimbali

Ukiunga pc yako na ya rafiki yako na kuendelea ndio internet
 
Kuna vitu unasoma unabaki unajiuliza hivi wabongo ndo wana ufahamu wa kiwango cha chini namna hii? Mbaya zaidi swali linaulizwa na mtu ambaye ameweza kuingia mpaka JF!
Hata ukiingia quora, mtandao wa kimataofa bado utapata maswali yote. Hili swali ni relevant sana kwa mtu asiye wa field hii. Mnaojua toeni majibu.
 
mtoa mada hakuuliza internet inatoka wapi au inamilikiwa na nani,yeye ametaka kujua MB Zinatengenzwa wapi au chanzo chake nini na pia kataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata MB bila kulipia(nimereplace neno kutengeneza MB kimagendo)
Hum Wanajibu tofauti kabisa na muuliza swali
 
Mkuu muulizaji hajauliza hlo! Anataka kujua zinatengenezwa wapi? Na je anaweza kuzimiliki? Swali linajieleza majibu yanatoka offline kwa nn?
 
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
Mkuu mbona hujawahi kuuliza vocha zinatengenezwa wapi? Ukipata maarifa ya kutengeneza vicha, MB zitajileta zenyewe
 
... huko mitaani labda upate mwizi wa mitandao akupatie kifurushi bila malipo!
NB: 1) SISI BONGO DATA TUNA'IMPORT' TU!
2) NGOJA VILAZA WALIOCHANGAMKA WAJE KUKUPAKA!
Unamaanisha hata wale TTCL hawana uwezo wa kutengeneza data?Ni wapi zinatengenezwa?
 
Mfano mzuri ili aelewe ni akinunua malaya basi kabla ya huduma mtoa huduma atachukua hela, sasa ukienda room ukashindwa kubandua malaya atasepe na mtonyo muda umeisha bila kujali kwamba hujambandua.
 
Kuna vitu unasoma unabaki unajiuliza hivi wabongo ndo wana ufahamu wa kiwango cha chini namna hii? Mbaya zaidi swali linaulizwa na mtu ambaye ameweza kuingia mpaka JF!
Swali lake lina mantiki labda wewe ndio hujamuelewa anachohitaji kujua.
Na hilo swali lake linahitaji majibu ya kitaalamu zaidi sio majibu ya kiujumla kama watu walivyokariri kwamba mb zangu zimeisha lakini hawajui zimeishaje na zimeenda wapi.
Kuna mtu mmoja nimeona ameelezea kitaalamu ila wengine wanaropoka tu huenda hata hawajaelewa swali
 
Mkuu muulizaji hajauliza hlo! Anataka kujua zinatengenezwa wapi? Na je anaweza kuzimiliki? Swali linajieleza majibu yanatoka offline kwa nn?
Huwezi kujibiwa kuku anatoka wapi au anatengenezwa vipi wakati haujui yai ni nini, It is impossible; Kuuliza kwake tu mb zinatengenezwa wapi ni kuonyesha kwamba hajui yai ni nini ? Kwahio he/she needs to start on basics na kwa kuonyesha am on the right track tumuulize bush crazy kama baada ya kusoma jibu langu he/she is not wiser than before....
 
Unamaanisha hata wale TTCL hawana uwezo wa kutengeneza data?Ni wapi zinatengenezwa?
... DATA inamuwezesha mtumiaji simu, kompyuta au kishikwambi kuwasiliana na kompyuta, simu na vishikwambi vingine kupitia mtandao mkuu wenye KOMPYUTA KUU, AMBAZO ZIKO NCHI ZA MAGHARIBI, na kuongeza content, kutoka KOMPYTA KUU kwa msaada wa wawezeshaji kama kampuni za simu au internet na kadhalika!
... kuungwa huko kuna gharama zake zinazopimwa kwa MB na GB anozotumia MDAU!
SIO KITU RAHISI!
 
A Very nice scenario/example to be understood by anyone.
 
Nimecheka
Ila kweli maana kuna watu wanatoa maelezo marefu
Kuna watu huko juu kama watano,nami nikiwemo,tumeeleza vizuri tene kwa njia tofauti kabisa,lakini watu hawaelewi,labda kwa vile wengi hawana ABC ya masuala ya IT yanavyofanya Kazi..

majibu kwenye Uzi huu yapo zaidi ya Saba,soma taratibu
 
Alifanywa nini huyo injinia?
 
Mfano mzuri ili aelewe ni akinunua malaya basi kabla ya huduma mtoa huduma atachukua hela, sasa ukienda room ukashindwa kubandua malaya atasepe na mtonyo muda umeisha bila kujali kwamba hujambandua.
Jf ina vituko.
Naona umejaribu kutafuta lugha nyepesi ambayo itaeleweka in a layman way
 
Mkuu kongole kwako kwa hakika umefunga mjadala kikichobaki muulizaji aulizie namna ya kudukua ukajiongezea ukomo wa internet kama ulipewa GB 1 wewe ujiongezee hadi 5 nadhan hiyo kazi ya wadukuzi, vp kuhusu hiz VPN ambazo watu wanatumia kuperuzi intrnet?
 
VPN maana yake ni kwamba wewe unakuwa physiclly uko hapa lakini kifaa chako kime-connect tuseme na LAN ya watu walioko kwenye ofisi moja mahali fulani KOREA YA KUSINI au uingereza. Kwa hiyo ulionao phsically hapo ofisini kwako, COMPUTER yako haiwezi kuonana na computer zao pamoja na kwamba mpo wote kwenye chumba kimoja, isipokuwa inaweza kuonana na watu waliopo kwenye ofisi moja mahali fulani huko Korea ya Kusini au Uingereza, as if uko nao phsically mahali pale ulipo wewe
 
tuone huo uzi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…