Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

huu upuuzi tu!
mzee tumewafahamu, kumbe mnatumwa, ata mimapovu kibao kumbe nyie na mafisadi damu damu, aya bana uo ni ujanja pia njia rahisi ya kuishi aswa katika hali hii ngumu ya maisha ilosababishwa na ao ao mafisadi unaowatetea, this is purely rediculous
 
Mbona unatumia nguvu kubwa sana? JF siyo mahali pa kutolea mapovu kama unavyofanya. Hii ni social forum tu. BTW hii ni joke tu na siyo kitu serious, so nakushauri uwe mpole tu
 
Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh!!!!!!!
Kama utani huu una asili ya chembe za ukweli kweli.
 
Duuh! watu wameikomalia hii thread hawajui kuwa it's just a joke, jamani ni utani tu chukulieni easy msituleteeni uccm na uchadema kwenye jukwaa hili maana naona hadi kwenye utani watu wanachukulia serious.
 
Pipijojo mbona umeng'aka hivyo halafu, wamekugusa nini?
Ni jokes huku sio siasa.
 
inanikera sana kwa baadhi ya watu humu JF, kuwatetea watu na kutopenda watu hao kuguswa hata kama wamefanya makosa. kuweni huru, acheni upuuzi.
 
Back
Top Bottom